Serikali yatangaza nafasi za kazi 372 katika kada mbalimbali

Serikali yatangaza nafasi za kazi 372 katika kada mbalimbali

Jamii Opportunities

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2014
Posts
4,876
Reaction score
1,549
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Makatibu Wakuu wa Wizara, Watendaji Wakuu wa Idara zinazojitegemea, Watendaji wakuu wa Mamlaka/Wakala za Serikali, Makatibu Tawala wa Mikoa, Wakurugenzi wa Halmashauri za Jiji/Manispaa/Miji na Wilaya anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi Mia Tatu Sabini na Mbili (372) kama
zilivyoainishwa katika kwenye kiambatisho hapo chini.

Screenshot 2023-07-13 093911.png
 

Attachments

Back
Top Bottom