Serikali yatangaza tenda ujenzi wa bandari mpya ya Bagamoyo, kukamilika baada ya miaka mitatu

Replica

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2017
Posts
1,681
Reaction score
8,887
Serikali ya Tanzania kupitia Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) tayari imeanza kutafuta Wakandarasi watakao jenga kwenye Bandari mpya ya Bagamoyo ambapo tenda imeshatangazwa na inatarajiwa kuwa ndani ya miaka mitatu itakuwa imekamilika na kuanza kutumika.

Millard

Pia soma > Serikali kuanza rasmi ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo Septemba 2023
 
Serikali ya Tanzania kupitia Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) tayari imeanza kutafuta Wakandarasi watakao jenga kwenye Bandari mpya ya Bagamoyo ambapo tenda imeshatangazwa na inatarajiwa kuwa ndani ya miaka mitatu itakuwa imekamilika na kuanza kutumika.

Millard
Hata tupicha picha 🤔
 
Bila shaka DP-WORLD atashinda tenda hiyo. Maoni ya wananchi yamefanyiwa kazi na kuzingatiwa. Big up serikali kwa kusikilizq maoni ya wananchi.
 
Siapewe DP akajenge huko badala ya kupora vilivyo tayari?
 
Bila shaka DP-WORLD atashinda tenda hiyo. Maoni ya wananchi yamefanyiwa kazi na kuzingatiwa. Big up serikali kwa kusikilizq maoni ya wananchi.

Kuna muoman na mchina wapo hapo,dpw yeye amepewa zilizobaki[emoji28]
 
Lissu si alisema bandari zote za Tanganyika kauziwa DP world? Sasa huyu TPA anatangazaje tenda kwenye mali ambazo sio zake?
 
Back
Top Bottom