Hata tupicha picha 🤔Serikali ya Tanzania kupitia Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) tayari imeanza kutafuta Wakandarasi watakao jenga kwenye Bandari mpya ya Bagamoyo ambapo tenda imeshatangazwa na inatarajiwa kuwa ndani ya miaka mitatu itakuwa imekamilika na kuanza kutumika.
Millard
Hata tupicha picha [emoji848]
Bila shaka DP-WORLD atashinda tenda hiyo. Maoni ya wananchi yamefanyiwa kazi na kuzingatiwa. Big up serikali kwa kusikilizq maoni ya wananchi.
Hao wengine huenda ni washirika wa DPW.Kuna muoman na mchina wapo hapo,dpw yeye amepewa zilizobaki[emoji28]
Ponhezi kwa TECBila shaka DP-WORLD atashinda tenda hiyo. Maoni ya wananchi yamefanyiwa kazi na kuzingatiwa. Big up serikali kwa kusikilizq maoni ya wananchi.
Kwa sasa kinachofuatia kupewa mwekezaji ni Uongozi wa NchiSerikali ya Tanzania kupitia Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) tayari imeanza kutafuta Wakandarasi watakao jenga kwenye Bandari mpya ya Bagamoyo ambapo tenda imeshatangazwa na inatarajiwa kuwa ndani ya miaka mitatu itakuwa imekamilika na kuanza kutumika.
Millard
Pia soma > Serikali kuanza rasmi ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo Septemba 2023
Miaka nenda rudi mmekalia hayo hayo hamchoki?Kwa sasa kinachofuatia kupewa mwekezaji ni Uongozi wa Nchi
Hapo kutakuwa na ufisadi wa kutoshaSerikali ya Tanzania kupitia Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) tayari imeanza kutafuta Wakandarasi watakao jenga kwenye Bandari mpya ya Bagamoyo ambapo tenda imeshatangazwa na inatarajiwa kuwa ndani ya miaka mitatu itakuwa imekamilika na kuanza kutumika.
Millard
Pia soma > Serikali kuanza rasmi ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo Septemba 2023