ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Ilishapita hiyo Iko kwenye bajeyinayoendelea na utekelezaji.Kwanza swali la msingi la kujiuliza, hivi hiyo proposal imepita Bungeni??
Au ndiyo kama kawaida yake Mama, kugawa pesa za walipa Kodi wa nchi hii kama njugu?🙄
Kama anavyofanya wakati huu za kulipa magoli ya Simba na Yanga, milioni 5 Kwa pesa zetu walipa Kodi!ðŸ˜
Haya mambo ya kipuuzi sijui ni nani Huwa anayaanzisha.
Harafu Wanasiasa ni wanafiki sana,Sasa hapo Kwa Sokoine mlikuwan mnafanya nini ikiwa hakuna anaefuata utaratibu wake?