Serikali yatenga Shilingi Bilioni 34 kujenga Makumbusho ya Marais Dodoma

Ilishapita hiyo Iko kwenye bajeyinayoendelea na utekelezaji.

Haya mambo ya kipuuzi sijui ni nani Huwa anayaanzisha.

Harafu Wanasiasa ni wanafiki sana,Sasa hapo Kwa Sokoine mlikuwan mnafanya nini ikiwa hakuna anaefuata utaratibu wake?
 
Hizo ni kilomita 30 za barabara ya lami. Zingejenga barabara ya Masasi - Nachingwea kwa asilia 85
Kama mlitumian Trilioni 12 Kwa Ajili ya Sgr ya Dar-Dom hata hizo wajengee tuu maana hii Nchi hainaga mipango Wala vipaombele
 
Kwa kuwa barabara kuu ya Dar Chalinze ni Lango kuu la Taifa lonaloungenisha mikoa mingi sana nchini na nchi za jirani,

Na kwa kuwa siku hizi barabara imeelemewa sana kiasi Kwamba kila mara magari na abiria kukwambia kwa masaa zaidi ya 6 na kuendelee kukwama bila kwenda mbele hata hatua moja,

Na kwa kuwa wananchi wamekuwa wakisema wana gosh wa na hali ilivyo ya hiyo barabara miaka ya zaidi ya 60 ya Uhuru ,

Je ni lini barabara hii itawekewa bajeti na kipaombele ijengwe kwa hataka kutokana na hali kuwa mbaya kila siku afadhali ya jana?
 
Wafanyakazi mwezi wa Tatu huu hakuna ANNUAL INCREMENTS ambazo tuliahidiwa lakini pia ni haki yetu kiutumishi, Halafu pesa zinatumika Kwa mambo ya kijinga tu
 
Ndiyo vipaumbele vya taifa hivyo
 
Nawaza hiyo pesa yote kingejengwa chuo kimoja cha ufundi stadi veta si ingetosha kuweka miundo mbinu yote!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…