Serikali yatimua wanafunzi UDSM



Mtanganyika I rarely disagree with but here nadhani umekwenda mbali kidogo.

Tatizo kubwa hapa ni kwamba watawala wa chuo bado wanawatreat wanafunzi kama vile wako sekondari hawajui wanachokifanya. Katika historia ya mlimani..watawala hawana tabia ya kutekeleza madai ya wanafunzi bila shinikizo la MGOMO. Mfano wanafunzi hawajawahi kuongezewa bumu bila kugoma. Hata sisi tulivyokuwepo, bumu liliongezwa baada ya kugoma na kufukuzwa miezi miwili na ushee! Sasa hapo nani mwenye makosa?

Kingine kuna watawala ambao bado wanaamini mtanzania (HAPA I MEAN MTOTO WA MKULIMA) kupata elimu ya University ni FAVOUR! which I dont agree with. Hizo funds unazosema, watu TULIKOPWA na tunakatwa kwenye mishahara yetu, sasa iweje leo mimi unanikopesha kwa mbinde wakati unapodai chako nakulipa bila mikiki? (as long as nina ajira?)

I fully agree na wenzangu humu, vitu kama maji, umeme, vitabu library, vyumba safi vya kusomea, internet nk si anasa bali ni precondition ya kupata elimu nzuri uliyoifuata pale. Jiulize Mkandara na top officials wanatembelea magari ya VX ya millions and millions, wakati ukienda special reserve za Library unakuta wanafunzi darasa zima mnagombania kitabu kimoja! I have seen it, I have lived it. Ndo maana mi nikiambiwa kwamba sometimes wanafunzi wa UD (in other universities it is worse I guess) kwamba wako incompetent au hawajui kizungu vizuri, sishangai....ndo mazingira yetu! Watawala wetu wa chuo lazima wabadilike.

Kifupi, watawala wa Chuo hawajui dialogue, maana wanafunzi kama wao silaha yao ya mwisho ni mgomo. Ingawa wa sasa hivi sijui kama walikwisha exhust all remedies available. Theory yako kwamba wanafunzi wanagoma April na May..siwezi kuitolea hoja maana nadhani ni time na circumstances tuu..sisi tuligoma October...na December...

Kuna wapuuzi pale UD ambao wanatumia nafasi zao kujinufaisha wao binafsi. Kama swala la maji I saw it in Mabibo and Ubungo..watu wanashindwa kuleta maji ya bomba harafu wanacontract maji ya malori..Hivi wewe jiulize kama HALL TWO, THREE, FIVE YALIVYO MAREFU..UNAAMBIWA UCHOTE MAJI KWA NDOO HARAFU UPANDE GHOROFA ZAIDI YA KUMI..NA TUVYUMBA TULIVYO TUDOGO NA MSONGAMANO WA WANAFUNZI...INAUDHI SANA.... I HOPE UNAIJUA UD..MAANA WENGINE TUMEKAA PALE MIAKA MINGI NA TUNAJUA KABISA BILA NCHA YA UPANGA HAKI HAIPATIKANI.....
 
LET US SING ALONG PEOPLE...

There's a natural mystic blowing through the air;
If you listen carefully now you will hear.
This could be the first trumpet, might as well be the last:
Many more will have to suffer,
Many more will have to die - don't ask me why.

Things are not the way they used to be,
I won't tell no lie;
One and all have to face reality now.
'Though I've tried to find the answer to all the questions they ask.
'Though I know it's impossible to go livin' through the past -
Don't tell no lie.

There's a natural mystic blowing through the air -
Can't keep them down -
If you listen carefully now you will hear.

There's a natural mystic blowing through the air.

This could be the first trumpet, might as well be the last:
Many more will have to suffer,
Many more will have to die - don't ask me why.

There's a natural mystic blowing through the air -
I won't tell no lie;
If you listen carefully now you will hear:
There's a natural mystic blowing through the air.
Such a natural mystic blowing through the air;
There's a natural mystic blowing through the air;
Such a natural mystic blowing through the air;
Such a natural mystic blowing through the air;
Such a natural mystic blowing through the air.
 
Haitasaidi serikali kwa kufukuza wanafunzi, sana wanaweka bad image kwa public. Kwa nini wasisikilize madai yao?
 
Hivi Wanafunzi Wakiendelea Kugoma Si Watawakamata Tena Na Kuwapeleka Mahabusu? Kutatosha Kweli??? Watashitaki Na Kufukuza Shule Nzima??? Jamani Magembe Na Wenzio Hebu Ajaribuni Kutumiaa Zaidi Akili This Time
 
Wanahabari Hebu Nendeni Pale Mkatengeneze Documentari Ya Hali Halisi Ya Pale Ili Kulamtu Aone Ya Kule, Mkifika Pale Ficheni Hata Camera Zenu Ili Mpate Kurekodi Ukweli
 
MUKANDARA UMEKOSA PHYCOLOGY YA KUDILI NA WATU WA UMRI HUU??? UNASHINDANA NA WATU WA UMRI HUU BADALA YA KUTUMIA BUSARA???? MI NADHANI TUWAKUTANISHE WANAFUNZI NA MUKANDARA NA JOPO LAKO KWENYE KONGAMANO ILI KUWE NA MASWALI NA MAJIBU KATI YENU NA SISI TUWE WASIKILIZAJI NA TUTAUONA UKWELI

Akisoma hati ya mashitaka jana mbele ya Hakimu Mkazi, Said Msuya, Kamishna Msaidizi wa Polisi, Charles Kenyela aliwataja washitakiwa hao kuwa ni Mohamed Rashid (24), Blessas Lyimo (21), Mtaha Frank (24), Natanael Innocent (22), Kisendi Rashid (24), Rahel Chasaba (22), Ester Sanga (21), Lutandilo Hosea (22) na Mgaya Risper (24).


Wengine ni Rose Casmir (21), Lugome Claus (25), Mbaraka Charles (23), Abdallah Seleman (23), Charles Peter (25), Kizito Prim (23), Deodatus Ngoti (28), Juma Athuman (25), Juma Athuman (25), Gabriel Gibson (23), Chogelo Gregory (22), Mwankunga Edgar (25), Munish Hilary (22), Patrick Yesaya (22) Alex Manonga (22) na Maliwa Nyasilu (22).


Pamoja na Abrahamani Ephraimu (23), Bugumia Matiko (22), Mtandika Miraji (27), Maige Emanuel (24), Masudi Salehe (20), Mdeme Ramadhan (23), Jalud Said (23), Lutaiwa Frenk (22), Mwasyeba Anosisye (24), Shahamila Royald (23), Ahamad Masasi (22), Fimbo Yoseph (25), Halima Mfaume (23) Stella Kambanga (24), wote ni wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, sehemu ya mlimani


http://www.mwananchi.co.tz/newsre.asp?id=5663
 
Sasa wameamua kuwafukuza hao wanafunzi na kudai kuwa hawa ruhusiwi kujisajili chuo chochote cha umma, lakini hawajui kuwa ndio wanakuza chuki na kutengeneza majambazi wa baadae tena walio elimika kidogo, hivyo maafa yake huko baadae ni makubwa, maana ukumnyima mtu kama huyo elimu , ina maana umenyima kazi ambayo itamletea kula.
 
Kama alivyosema August hapo juu, tunadhani tunawakomoa wakati tunajikomoa wenyewe!Taifa lenye shida kubwa ya wasomi linabidi kutambua hili.

Na kwa taarifa ya wengine humu ndani, hakuna mgomo wa kipuuzi. Mgomo kama vile kuandamana (vyote hivi kwa amani)ni haki yangu ya kuonyesha kukerwa na jambo na hakuna mwenye haki ya kunizuia katika demokrasi kamili, ili mradi kugoma kwangu hakuna madhara kwa sehemu kubwa ya jamii kwa muda mrefu. Ninaweza kugoma kupinga kutumia kalamu za wino badala ya penseli. Tukianza kuwekeana mipaka tutaishia wapi? leo hii mnasema kukosa maji mahali penye majengo ya zaidi ya ghorofa 10 si sababu ya maana. Kugoma kwa sababu chakula unachopewa hakistahili kupewa binadamu na kwenyewe mnakubeza! Kwa vile sisi hatukuvaa viatu tulipoanza shule hatuwezi kutegemea watoto wetu nao watembee pekupeku!
 

Hawajikomoi hata kidogo, mahela wamechota, watoto wao wanawasomesha nje ya nchi, watapata shida gani hapo
 
Sio kweli kuwa kuna mwanafunzi amefariki katika sakata hilo.
Kwenye ubao wa matangazo hapo chuo wamebandika ufafanuzi kuhusu hilo.
Kufukuza wanafunzi sio sahihi...na wanafunzi kutumia mabavu na kuvunja sheria kudai haki pia sio sahihi.
Mie nafikiri wakati umefika sasa wakatumia mahakama kunadai haki yao...hii itaweka precedent katika masuala haya siku za usoni.
Nawapa pole wale wote wamekuwa wahanga katika sakata hili.
 
Hakua maana Y akua na vyuo vikuu...
sio kweli wana fuzi 300 wote kwa ujumla wao hawafai....
Njoo ni mtaani ...Tuharibike...
 

kazi kweli kweli, Nyerere in action maana aliwahi kutoa kauli ya kuwa elimu ya juu ni priviledge!! na hayo maneno miaka ya tisini tulikuwa tunapewa kwenye freshman orientation week. Poleni wanangu, hiyo kesi mtashinda tu na kuwaban chuo sio mwisho wa maisha.....as long as vyeti vyenu vya ACSE basi mtapata hata vyuo nje ya nchi, elimu ni popote.
 
Inaelekea si chuo kikuu tu, bali serikali imezidiwa katika mambo mengi. Hatuna mifumo inayotekelezeka ya kushughulikia masuala mbalimbali, pamoja na migogoro hii ya chuo kikuu. Ukiangalia kwa makini utabaini kuwa kuna matatizo ya kimfumo katika kila sekta. hakuna kitu kinaenda inavyotakiwa na mbaya zaidi hatuna mechanism la kushughulikia crisis inapotokea kitu hakiendi kinavyotakiwa. Au hizo mechanism zipo lakini hazifuatwi.
 

Hilo ni vuguvugu tu toka chuo, nadhani serikali mwaka huu sijui kama utaisha. Sasa hivi utasikia madaktari wanagoma, walimu wanagoma. Hivi polisi wenyewe sijawahi sikia wanagoma, ndio kwamba wameridhika na hali yao ya kuishi kwenye kota chafu wakati wenzao wanapeta ndani ya mahekalu maeneo ya mbezi! sasa hivi inatakiwa kila kada igome na hapo sirikali ndio tajua kutake care ya wananchi wake.
 

Masanja.
Naona argument zako zimebase upande mmoja. Why you don't want to point fingure kwa wanafunzi? Tatizo lilopo kwenye Kitivo cha engineering ni sugu. you know that and i know that, and everybody alipitia udsm anajua kwamba source za matatizo ni Kitivo cha uhandisi.

Najua kuna umuhimu wa chuo kikuu kuwa na maji na umeme na internet na mengineyo. Lakini kugoma sio source ya kushinda, bali ni source ya kushindwa. Correct me if am wrong, unapoingia chuo si unasaign form za kusema huta goma, wala kufanya mambo ya kishenzi shenzi chuoni, sasa unapogoma ni kupima maji ya bahari kwa kutumia macho.

Swala kubwa ni wimbi la wanafunzi kuigizana pindi wanapofika chuo, walevi wapya, wapenda raha wapya, na mambo mengine mengi ya ajabu. Wanafunzi wanamatatizo mengi tuu, relative to uongozi.
 
Why KUGOMA? I argue about that when i was Mlimani, am arguing it now. Why?
Who are the engineer wa migomo? na ni kwanini hawapatikanaji? Jee ni kweli hichi cheo yakuingineer mgomo kinarithishwa na ni cha siri sana?
 
Jamani swali langu ni dogo:

NI KWELI MWANAMKE MJA MZITO AMEKUFA?

Maana hawa watoto wazushi sana, wanaeneza habari zisizo sahihi. Kungekuwa na kitu kama hicho tungeshasikia wazazi wakilalamika.

Mimi nimeacha kuwaamini kwa lolote!
 
Nimemshangaa Samweli sitta akisema leo bungeni kuwa serikali imewapa taarifa ya kufukuzwa student more than 300, na jana Dr. slaa aliomba muongozo juu swala hilo, ila leo bunge limekataa kujadiliwa kwa hoja hiyo wamesema kanuni haziruhusu kujadiliwa kwa jambo hilo
 
Why KUGOMA? I argue about that when i was Mlimani, am arguing it now. Why?
Who are the engineer wa migomo? na ni kwanini hawapatikanaji? Jee ni kweli hichi cheo yakuingineer mgomo kinarithishwa na ni cha siri sana?

Why Kugoma?

labda nikuambie kwa kutumia why not?

1. Why not kugoma ili serikali isitishe mikataba mibovu?
2. Why not kugoma ili bei ya umeme ipungue?
3. Why not kugoma ili serikali isite kulipa richmonduli?
4. Why not kugoma ili Mkapa na mafisadi wengine washitakiwe?
5. Why not kugoma ili Kikwete asifuje mabilioni ya fedha hazina?
6. Why not kugoma ili serikali ithamini elimu nchini?
7. Why not kugoma ili pesa za nchi zitumike kwenye huduma za afya?
8. Why not kugoma ili maji na huduma muhimu zipatikane nchini?
9. Why not kugoma ili huduma muhimu zipatikane chuoni?
10. Why not kugoma ili fisadi, dikiteta na muuaji Mukandara akome kuingilia chaguzi huru za wanafunzi wa chuo kikuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…