Masanja
JF-Expert Member
- Aug 1, 2007
- 5,319
- 10,416
Kumbumkumbu zangu kuhusu mlimani, 1998 waligoma kisa posho walitaka posho ziongezwe. 2000's tumeona migomo ya kumwaga kuanzia Calculator kwa wale wa Engineering depertment, mpaka serikali itupe free money mpaka maji hayatoki so tunagoma.
Mimi nimekulia mliamani i know lini migomo hutokea, soma migomo yote utaona inatokea April to May, Jee unajua why? Because the final exam inakuja and walikuwa behind kwenye kusoma ndio wanaanzisha mgomo, wanajua watasimamishwa, then they can study. Hii plan imekuwa kwa miaka nenda rudi, kuna watu ambao wanachaguliwa special kuengineer hii migomo. That is how the system works.
Serikali imesha try strategy million of strategies lakini zimefail.
Unajua kama watu wana abuse opportunity dawa ni kutake it away from them. That is the way it works all over the world. I feel sorry kwa wale wote waliofukuzwa, i know kwamba matatizo ya wachache always yanasababisha madhara kwa wengi. That is how it works
Mimi nailaumu serikali kwa kutoweka strong rules kuhusu swala zima la kugoma. I am expect strong rules will be implimented to stop this slow bleeding. UDSM students think they're like Einsten or Newtown. They're far way from truth and reality. Life doesnt promise you anything.
That is how it works, life has never been fair.
Mtanganyika I rarely disagree with but here nadhani umekwenda mbali kidogo.
Tatizo kubwa hapa ni kwamba watawala wa chuo bado wanawatreat wanafunzi kama vile wako sekondari hawajui wanachokifanya. Katika historia ya mlimani..watawala hawana tabia ya kutekeleza madai ya wanafunzi bila shinikizo la MGOMO. Mfano wanafunzi hawajawahi kuongezewa bumu bila kugoma. Hata sisi tulivyokuwepo, bumu liliongezwa baada ya kugoma na kufukuzwa miezi miwili na ushee! Sasa hapo nani mwenye makosa?
Kingine kuna watawala ambao bado wanaamini mtanzania (HAPA I MEAN MTOTO WA MKULIMA) kupata elimu ya University ni FAVOUR! which I dont agree with. Hizo funds unazosema, watu TULIKOPWA na tunakatwa kwenye mishahara yetu, sasa iweje leo mimi unanikopesha kwa mbinde wakati unapodai chako nakulipa bila mikiki? (as long as nina ajira?)
I fully agree na wenzangu humu, vitu kama maji, umeme, vitabu library, vyumba safi vya kusomea, internet nk si anasa bali ni precondition ya kupata elimu nzuri uliyoifuata pale. Jiulize Mkandara na top officials wanatembelea magari ya VX ya millions and millions, wakati ukienda special reserve za Library unakuta wanafunzi darasa zima mnagombania kitabu kimoja! I have seen it, I have lived it. Ndo maana mi nikiambiwa kwamba sometimes wanafunzi wa UD (in other universities it is worse I guess) kwamba wako incompetent au hawajui kizungu vizuri, sishangai....ndo mazingira yetu! Watawala wetu wa chuo lazima wabadilike.
Kifupi, watawala wa Chuo hawajui dialogue, maana wanafunzi kama wao silaha yao ya mwisho ni mgomo. Ingawa wa sasa hivi sijui kama walikwisha exhust all remedies available. Theory yako kwamba wanafunzi wanagoma April na May..siwezi kuitolea hoja maana nadhani ni time na circumstances tuu..sisi tuligoma October...na December...
Kuna wapuuzi pale UD ambao wanatumia nafasi zao kujinufaisha wao binafsi. Kama swala la maji I saw it in Mabibo and Ubungo..watu wanashindwa kuleta maji ya bomba harafu wanacontract maji ya malori..Hivi wewe jiulize kama HALL TWO, THREE, FIVE YALIVYO MAREFU..UNAAMBIWA UCHOTE MAJI KWA NDOO HARAFU UPANDE GHOROFA ZAIDI YA KUMI..NA TUVYUMBA TULIVYO TUDOGO NA MSONGAMANO WA WANAFUNZI...INAUDHI SANA.... I HOPE UNAIJUA UD..MAANA WENGINE TUMEKAA PALE MIAKA MINGI NA TUNAJUA KABISA BILA NCHA YA UPANGA HAKI HAIPATIKANI.....