Serikali ihimize njia za kujikinga zaidi maana limeanza kutokea wimbi la hii kitu, unaweza kusema ni mafua ya musimu. Nashauri matumizi ya barakoa kwa kila mtu mahali popote pale na njia za kutumia vitakasa mikono zirudi kwa kasi kama ilivyokuwa awali....