Uganda walichanjwa lakini wapi, hii Corona dawa ni kutoipa attention tu, kuvaa barakoa nako ni kama bahati nasibu, mimi nikivaa majirani zangu hawana habari nayo, na sidhani kama barakoa zinazuia 100% nyungu nayo haijathibitishwa popote, maombi?! kwani waganda hawamjui Mungu!, au Mungu ana upendeleo!, sijui tunahitaji kitu gani zaidi kuhusu huu ugonjwa ili tujikinge.
Ni maombi!! Kupanga ni kuchagua! Sisi tulichagua kumtanguliza Mungu na tahadhari ikafuata nyuma, wao walitanguliza tahadhari na Mungu akapewa nafasj ya nyuma! Tofati ya Tanzania na mataifa yote mengine ni hiyo!! Mungu. Hapa Tanzania wapo wengi tu wasiomwamini Mungu lakini wamefaidika kwa Viongozi wetu kuwa wacha Mungu na wakakumbuka kumtanguliza Mungu mbele!!Uganda walichanjwa lakini wapi, hii Corona dawa ni kutoipa attention tu, kuvaa barakoa nako ni kama bahati nasibu, mimi nikivaa majirani zangu hawana habari nayo, na sidhani kama barakoa zinazuia 100% nyungu nayo haijathibitishwa popote, maombi?! kwani waganda hawamjui Mungu!, au Mungu ana upendeleo!, sijui tunahitaji kitu gani zaidi kuhusu huu ugonjwa ili tujikinge.
Uganda walichanjwa lakini wapi, hii Corona dawa ni kutoipa attention tu, kuvaa barakoa nako ni kama bahati nasibu, mimi nikivaa majirani zangu hawana habari nayo, na sidhani kama barakoa zinazuia 100% nyungu nayo haijathibitishwa popote, maombi?! kwani waganda hawamjui Mungu!, au Mungu ana upendeleo!, sijui tunahitaji kitu gani zaidi kuhusu huu ugonjwa ili tujikinge.
Hakuna nchi ya kiafrika inayoweza kuchanja zaidi ya asilimia 20 ya watu wake! Hivyo hiyo chanjo haiwezi kutupatia herd immunity inayotakiwa kutukinga na corona ambayo ni kuchanja asilimia 70!! Matumizi ya chanjo kwa hiźi nchi zetu ni kusaidia kuchanja wale ambao wanalazimika kusafiri nje ya nchi ili waruhusiwe na nchi wanakokwenda, fullstop! Hakuna cha kinga wala baba yake na kinga! Ni faida9 kwa mabeberu maana yanapiga pesa ndefu!! Ni biashara ya kulazimishwa na viongozi wetu wanajua!! Kwa masikitiko makubwa sana ni viongozi adimu sana wenye ubavu wa kuwaambia mabeberu hapana!Acha kueneza conspiracy theory. Uganda wamechanywa chini ya 1%. Hakuna vaccines za kutosha. Nchi ambazo zimechanja wengi km USA, Israel, maambukizi yamepungua sana. Wanaolazwa wengi wao ni vijana ambao hawajachanjwa.
Serikali ya Tanzania imesema kuna viashiria vya wimbi la tatu la ugonjwa wa Covid-19 unaosababishwa na virusi vya corona kuingia nchini kutokana na nchi jirani wananchi wake kuzidi kupata maambukizi ya ugonjwa huo.
Akizungumza na waandishi wa habari leo Jumamosi Juni 19, 2021 katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) mkurugenzi wa kinga wa Wizara ya Afya, Dk Leonard Subi ametoa maagizo kadhaa likiwemo la kuwataka wananchi kuvaa barakoa.
“Wizara inawakumbusha wananchi wote kutopuuza ugonjwa wa Covid-19. Wizara imeanza kuona viashiria vya kutokea kwa wimbi la tatu la mlipuko wa ugonjwa huu katika nchi yetu.”
“Hii ni kutokana na taarifa za ufuatiliaji wa mwenendo wa ugonjwa huu zinazofanywa na wizara na mwingiliano kati ya watu wetu na mataifa mengine,” amesema Dk Subi.
Amesema idadi ya wagonjwa wanaokutwa na vizuri vya corona barani Afrika imeongezeka ndani ya wiki tano mfululizo zikiwemo nchi jirani na Tanzania, “maambukizi yanaongezeka maradufu kuliko ilivyokuwa wimbi la pili.”
Katika maelezo yake amewataka wananchi kuchukua tahadhari kwa kuvaa barakoa, kutumia vitakasa mikono na kunawa mikono kwa maji tiririka na sabuni.
Chanzo: Mwananchi
Namba huwa hazidanganyi. Kenya, Uganda, Zambia, India nk walipoanza kuchanjana tu mlipuko wa gonjwa hili uliongezeka sana. Yaani unakuwa kama umeuchokoza vile. Tusubiri na sisi itakuaje tutakapoanza hizo chanjo ambazo tayari tumeshaziagiza baada ya watu fulani kuzililia sana. Mtoto akililia wembe mpe umkate.Uganda walichanjwa lakini wapi, hii Corona dawa ni kutoipa attention tu, kuvaa barakoa nako ni kama bahati nasibu, mimi nikivaa majirani zangu hawana habari nayo, na sidhani kama barakoa zinazuia 100% nyungu nayo haijathibitishwa popote, maombi?! kwani waganda hawamjui Mungu!, au Mungu ana upendeleo!, sijui tunahitaji kitu gani zaidi kuhusu huu ugonjwa ili tujikinge.
Hakuna nchi ya kiafrika inayoweza kuchanja zaidi ya asilimia 20 ya watu wake! Hivyo hiyo chanjo haiwezi kutupatia herd immunity inayotakiwa kutukinga na corona ambayo ni kuchanja asilimia 70!! Matumizi ya chanjo kwa hiźi nchi zetu ni kusaidia kuchanja wale ambao wanalazimika kusafiri nje ya nchi ili waruhusiwe na nchi wanakokwenda, fullstop! Hakuna cha kinga wala baba yake na kinga! Ni faida9 kwa mabeberu maana yanapiga pesa ndefu!! Ni biashara ya kulazimishwa na viongozi wetu wanajua!! Kwa masikitiko makubwa sana ni viongozi adimu sana wenye ubavu wa kuwaambia mabeberu hapana!
Njia nzuri ya kujilinda baada ya kumtanguliza Mungu ni kunawa mikono mara kwa maji kwa kutumia maji tiririka, kutakasa mkono mara kwa mara kwa kutumia sanitizer yenye alcohol 70%. Kujièpusha na misongamano ni muhimu. Lakini hili la barakoa ni kujipa ujasiri batili tu!
Unajua vaccination coverage ya Nchi ya uganda ni ngapi? Usipende kuzungumzia vitu ambavyo huvijui....Uganda walichanjwa lakini wapi, hii Corona dawa ni kutoipa attention tu, kuvaa barakoa nako ni kama bahati nasibu, mimi nikivaa majirani zangu hawana habari nayo, na sidhani kama barakoa zinazuia 100% nyungu nayo haijathibitishwa popote, maombi?! kwani waganda hawamjui Mungu!, au Mungu ana upendeleo!, sijui tunahitaji kitu gani zaidi kuhusu huu ugonjwa ili tujikinge.
Pole sana mkuu.kibongo bongo kiukweli hakuna aliechukua tahadhari..
hata walioenda kumtoa hospital na kumuosha hawakuvaa mask zaidi ya gloves tuu..mungu atunusuru tuu.
bado tunachukulia poa sana hii kitu
#Kwanini viongozi wenu walikataa kutoa data? Mungu haziakiwi jaman, Ukuumwa nenda hospitali ukatibiwe over.Ni maombi!! Kupanga ni kuchagua! Sisi tulichagua kumtanguliza Mungu na tahadhari ikafuata nyuma, wao walitanguliza tahadhari na Mungu akapewa nafasj ya nyuma! Tofati ya Tanzania na mataifa yote mengine ni hiyo!! Mungu. Hapa Tanzania wapo wengi tu wasiomwamini Mungu lakini wamefaidika kwa Viongozi wetu kuwa wacha Mungu na wakakumbuka kumtanguliza Mungu mbele!!
Hizo barakoa kavae wewe na mmeo.Nashauri matumizi ya barakoa kwa kila mtu mahali popote pale na njia za kutumia vitakasa mikono zirudi kwa kasi kama ilivyokuwa awali....
[emoji3][emoji3]Madalali wa chanjo wanapima upepo unavyoenda.
Watanzania wana akili timamu, hawawezi kukubali kudungwa hayo machanjo toxic.Hao ni the brainwashed. Wamo humo boda boda, wapiga debe, sungu sungu na wa namna hiyo. Unategemea nini hapo mkuu?
Pale Mwananyamala kuna wodi maalum ya changamoto ya upumuaji/Corona/Covid19 na ipo full hadi sasa hivi.