#COVID19 Serikali yatoa angalizo maambukizi mapya ya Corona

Haa haaa just haa haa.. Samia acha kujidharirisha kwa pesa za MABEBERU.
Tunaleta taharuki sasa kwa kua tunaitaka pesa ya Corona.. nawasipo tupa dollar tutafukia majeneza hewa kama Uganda. Hatupoi mpaka tuipate, DADADEKI..
Waafrika tunatia aibu sana.
 
Watanzania wana akili timamu, hawawezi kukubali kudungwa hayo machanjo toxic.

Watakaodungwa ni nyumbuh kama wewe mnaozurura mitandaoni bila dhima maalumu.

Huku mtaani mambo ni tofauti saanaa!!

Wenye akili timamu ndiyo wale mburumundu wa kijani?

Kwani hata kuna haja ya kutoleana macho? Nyie wenye akili timamu mnaodhurura mitandaoni mkiwa na dhima (yaani masungu sungu, miboda boda, mipiga debe, mi vibaka vibaka na wanamna hiyo - wanyonge wa awamu ile) bakini na m@vi yenu. Ila sisi tutachanjwa hapa hapa tena kwa heshima na taadhima. Bila ya shaka yoyote, wakiwamo pia kina Mama Samia, Dr. Mpango, Kassim Majaliwa na waungwana wengine.

Mna nini mburumundu nyie cha kumwambia nani? Danganyanyeni wenyewe kwa wenyewe huko huko vijiweni mwenu.


Hiyo ndiyo habari yenyewe.
 
Mawazo ya kijima haya.
 
Wanatuandaa kisaikolojia ili watusweke ndani yaan... Wao wanakula na kulala bila shida Tena hata hakuna wa kuwabughudhi...

Anyway Mungu hatatuacha aliponya, anatuponya.. Atatuponya...
 
Acha kueneza conspiracy theory. Uganda wamechanywa chini ya 1%. Hakuna vaccines za kutosha. Nchi ambazo zimechanja wengi km USA, Israel, maambukizi yamepungua sana. Wanaolazwa wengi wao ni vijana ambao hawajachanjwa.
Vijana ndio wanalazwa kwa corona?
 
Weweeeee...... hachanjwi mtu hapa!

Wananchi wameamka balaa, ukiwaletea habari za chanjo watakupasua vibaya.

Maana ile kitu wameambiwa na Dokta Mkemia Magufuli imenata mpaka kwenye mifupa yao na wameelewa somo kupitiliza.

Kama ni maksi, basi tunasema wamepata A plus. [emoji818][emoji818]

Nyinyi vinyangarika wa mtandaoni mnaolilia machanjo yenye sumu, maoni yenu yanaishia kwenye servers tu.

Kama mmekula pesa za wazungu, ni bora mzitapike kabla hamjachelewa.

Kiufupi hamuonekani wala hakuna anayewasikiliza kwa sasa.

Tuko bize tunachapa kazi. [emoji818][emoji818]
 

Chanjo ni suala la hiari. Nisichanjwe mimi na wapendwa wangu kwa sababu ya mi sungu sungu, vibaka, mipiga debe au mijamaa ya namna hiyo isiyoelimika kuwa ndiyo inasema hivyo?

Thubutu! Mbona patachimbika? Kumbe hamtuelewi.

Palikuwa na uzi wenye kuwahusu hapa:


Kwenye hao wanyonge wewe ni kundi gani hapo?
 
Chanjo ni suala la hiari. Nisichanjwe mimi na wapendwa wangu?
Wapendwa wako ni wepi hao?

Hao mabaahasha zako ndo wapendwa wako?

Kama wewe na bahasha wako mnapenda chanjo haina tabu. Mkadungwe tu.

Lakini sisi tuko bize mno. Tunachapa kazi na tumeshasahau habari za sijui corona.

Hizo habari za corona huwa nazisoma kwenye TV na kwa machokoraa wa mitandaoni tu kama wewe msio na ajira inayotambulika.

Huku mtaani watu hawajui hata maana ya corona. Wako bize wanasaka pesa na kuchakarika balaa. [emoji818][emoji818]

Haya maoni ya machokoraa wa mitandaoni kuhusu corona ni maoni hafifu sana. Hayana uzito wowote ule na tumeshayapuuza kabla hata ya kuyasoma. [emoji818][emoji818]
 
Dah
R.i.p JPM...
 
Acha kueneza conspiracy theory. Uganda wamechanywa chini ya 1%. Hakuna vaccines za kutosha. Nchi ambazo zimechanja wengi km USA, Israel, maambukizi yamepungua sana. Wanaolazwa wengi wao ni vijana ambao hawajachanjwa.
Vijana ndio wanalazwa kwa Corona?!

Huko ulaya wamechanjwa lakini bado wanaogopa watu wao wasitoke kwenda mataifa mengine, au wakirudi wawekwe karantini, UEFA Final iliyokuwa ichezwe Uturuki ikahamishiwa Ureno kisa Uturuki waliita iko kwenye "red list", sasa kama wamechanjwa waliogopa nini kwenda Uturuki? Jibu la kubahatisha tu, hata huko ulaya walikochanjwa kwa asilimia kubwa bado wanaiogopa Corona, haiwezekani uchanjwe halafu bado uje na habari za karantini.
 
Asante, umeiweka kitaalamu zaidi, most of us tunajitutumua na chanjo ya Corona simply ili tufanane na wazungu tu, nothing else.
 
Machanjo ya kisanii haya.

Yaani mtu udungwe chanjo lakini bado corona ikuandame?

Maana ya chanjo ni nini sasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…