Kuna miradi mikubwa bado inasua sua kwa mfano SGR ; waturuki wanagoma hawalipwi fedha zao. Kule Rufiji nako siku hizi hatusikii kitu kama kuna maendeleo au la!! Serikali makini ingefanya sequencing ya hii miradi mikubwa ili Serikali isianzishe miradi mingine mikubwa kabla ya kumaliza ile iliyoanzisha lakini haijaisha.!
Kuanzisha huu mradi wa Bandari ya Bagamoyo kwa kutumia hela za ndani kama ni Kweli utakuwa mzigo mzito kwa Wananchi wakati hiyo miradi mingine mikubwa haijaanza uzalishaji!! Hii yote ni shinikizo la Kikwete Kwa Samia kwani hakuweza kufanya hivyo enzi ya Magufuli!!! The lady is too weak!!