Serikali yatoa Bilioni 40 za kuanza ujenzi Bandari ya Bagamoyo

Serikali yatoa Bilioni 40 za kuanza ujenzi Bandari ya Bagamoyo

Hakuna mradi unaosua sua Mzee,hata Sgr ingekuwa tayari sema manufacturer hajakamilisha Kutengeneza.

Umeme mwezi wa 2 unaanza majaribio.

Mwisho Nchi haijengi miradi kama mtu binafsi eti udubirie mradi uishe ndio uanze mwingine,huo ujinga peleka kwenye history,economics haisemi hivyo.
Hizo economics zenu za kilesbian ndio zinatupotezea direction nchi yetu! Mnapewa vyeo kabla hamjavunja ungo matokeo yake ndio mnatoa ushauri wa tozo kila mahala ili mabwana zenu wapige dili na nyie muambulie haya makombo!!
It is simple common sense kuwa kama SGR ingekamilika sana hivi ingekuwa inapiga kazi na kuingiza mapato lakini kwavile nyie maboya mpo mpo tu mradi unasua sua eti kwa sababu manufacturer hajakamilisha kutengeneza; huu ujinga uisngekuwepo kama Magufuli angekuwa hai . Kwani ni jukumu la nani kuhakikisha kuwa manufacturer anatengeneza wewe boya?
 
Billion 40 mbona pesa ndogo sana. Itajenga kitu gani hapo? Ujenzi wa airport na ule wa sea port upi huwa ni ghari?
 
Back
Top Bottom