Serikali yatoa kibali ajira mpya za walimu.

Alf we jamaa nahc ndoumetudanganya kabsa, serikari uwa inatoaga ck 14 Za kujiandaa!
 
Jamani acheni kutupa presha wenzenu, tumevumilia mpaka tumechoka, ngoja tusubiri hiyo kesho tuone@
 
Alf we jamaa nahc ndoumetudanganya kabsa, serikari uwa inatoaga ck 14 Za kujiandaa! Ww umebainisha siku 10 tU yaan camin ingawa naombea uongo wako uwe ukweli/# choka sn mm
 
Alf we jamaa nahc ndoumetudanganya kabsa, serikari uwa inatoaga ck 14 Za kujiandaa! Ww umebainisha siku 10 tU yaan camin ingawa naombea uongo wako uwe ukweli/# choka sn mm

huko utakopangwa uko tayari kwenda ndgu...maaana!!?
 
Duu tunafarijiana tu ili siku ziende hakuna kitu km hicho ajira had april mosi tuvute subira

Ndugu ajira ya April mosi ni kudharauliana maana ni sikukuu ya wajinga, je walimu ndio wajinga? (itaonekana wenye sikukuu wanapewa motisha.)
 
Cna hakika na hz habar! kwa nnavofaham serikari uwa inaajiri kuanzia trh yeyote bt lazma iwe ni trh 1, Mwez wowote labda cjuh na nnavojua post zitatoka kuanzia mach 17

Mbona unajichanganya na maelezo yako?
Au ndio unadanganya live?
Unasema serikali inaajiri.
1. Tarehe yeyote
2. Tarehe hiyo lazima iwe 1.
3. Unasema watatoa ajira tarehe 17.

Which is which ndugu au sijakuelewa?
 
jamani msimpinge sana lakini jua huongo ni fani,kama ni rahisi danganya na wewe tuone,
 
Mbona unajichanganya na maelezo yako?
Au ndio unadanganya live?
Unasema serikali inaajiri.
1. Tarehe yeyote
2. Tarehe hiyo lazima iwe 1.
3. Unasema watatoa ajira tarehe 17.

Which is which ndugu au sijakuelewa?

Navomaanisha kwa serikari uwa wanatangaza post wiki 2 kabla ya tarehe 1 na maranyingi kuripot inaanzia trh 1 ili mwishon mwa mwez wakupatie chochote,vp umenisoma mkuu?
 
jaman mbona tunawekana roho juu izi habari za vichochoroni na kwenye vijiwe vya kawaha iwe mwisho tumechoka
 
Alf we jamaa nahc ndoumetudanganya kabsa, serikari uwa inatoaga ck 14 Za kujiandaa! Ww umebainisha siku 10 tU yaan camin ingawa naombea uongo wako uwe ukweli/# choka sn mm

Sio kweli kwamba serikali huwa inatoa siku 14 za kujiandaa, ukirejelea mwaka jana (2013) post zilitoka tar.24feb wakapewa wiki moja tu ya kujiandaa na wakaambiwa waanze kureport tar.1-9March!! Kwa kuongezea tu; mpaka leo hii hata hawajamaliza mwaka wakiwa kazini!!
 
Navomaanisha kwa serikari uwa wanatangaza post wiki 2 kabla ya tarehe 1 na maranyingi kuripot inaanzia trh 1 ili mwishon mwa mwez wakupatie chochote,vp umenisoma mkuu?

Hebu nikumbushe katika hilo la wiki mbili ilitokea mwaka gani????
 
Cyo ho mkuu mwakajana zilitoka trh 13/02/2013 Kuripot ilikuwa trh 1-9MARCH
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…