Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alf we jamaa nahc ndoumetudanganya kabsa, serikari uwa inatoaga ck 14 Za kujiandaa! Ww umebainisha siku 10 tU yaan camin ingawa naombea uongo wako uwe ukweli/# choka sn mm
Duu tunafarijiana tu ili siku ziende hakuna kitu km hicho ajira had april mosi tuvute subira
ulitaka kumaanisha nini hapo kwenye #48_minutes
Cna hakika na hz habar! kwa nnavofaham serikari uwa inaajiri kuanzia trh yeyote bt lazma iwe ni trh 1, Mwez wowote labda cjuh na nnavojua post zitatoka kuanzia mach 17
huko utakopangwa uko tayari kwenda ndgu...maaana!!?
Mbona unajichanganya na maelezo yako?
Au ndio unadanganya live?
Unasema serikali inaajiri.
1. Tarehe yeyote
2. Tarehe hiyo lazima iwe 1.
3. Unasema watatoa ajira tarehe 17.
Which is which ndugu au sijakuelewa?
Alf we jamaa nahc ndoumetudanganya kabsa, serikari uwa inatoaga ck 14 Za kujiandaa! Ww umebainisha siku 10 tU yaan camin ingawa naombea uongo wako uwe ukweli/# choka sn mm
mradi ni tanzania but cyo sehem nyingine
Navomaanisha kwa serikari uwa wanatangaza post wiki 2 kabla ya tarehe 1 na maranyingi kuripot inaanzia trh 1 ili mwishon mwa mwez wakupatie chochote,vp umenisoma mkuu?
Sio kweli kwamba serikali huwa inatoa siku 14 za kujiandaa, ukirejelea mwaka jana (2013) post zilitoka tar.24feb wakapewa wiki moja tu ya kujiandaa na wakaambiwa waanze kureport tar.1-9March!! Kwa kuongezea tu; mpaka leo hii hata hawajamaliza mwaka wakiwa kazini!!
sasa tuelewe lipi jamani