micky massawe
Member
- Jan 30, 2014
- 29
- 4
Habari za Uhakika kutoka TAMISEMI zinasema kuwa Serikali kuu imetoa kibali cha Ajira Mpya za Walimu mwaka 2014.Taarifa zaidi zinaeleza kwamba Halmashauri zimeombwa kuanza maandalizi ya Kupokea Walimu wapya kuanzia tarehe 10 March.Majina ya Walimu wapya yatatolewa tarehe 26 February na tarehe ya kuripoti ni 10/03/2014-19/03/2014.Source Afisa Tamisemi.
Namngoja mheshimiwa alietaarifu walimu wapya kuajiriwa February 26...ikipita hapo ctokaa nisikilize tena tetesi nitangoja mpaka pale yatakapotimia kwel...maana tetesi zilikuepo tokea September mwaka Jana.......
acheni kuleta uhuni humu wa kusema kwamba ajira wanatangaza eti kesho je wewe ni nani katika serikali ya waongo, andikeni vitu logic, siyokuleta umbea usio na ukweli ndani yake mafixadi bado wanalilia kuongezewa posho za bunge la katiba nanyi mnaleta umbea humu,leteni mada zinazo kuwa na chanzo cha habari wapi, yani pu..mb..fu sana
uwalimu ni umasikini
Kama unataka ukweli basi tumia avatar na jina lako halisi na sio kutudanganya hapa.
Pia matusi ya nn?
Kama unataka ukweli basi tumia avatar na jina lako halisi na sio kutudanganya hapa.
Pia matusi ya nn?
nikupe namba ya mtu alie jikoni akuhakikishie kwamba hata kesho ni urongo..??
Hivi leo si ndo 26? Mbona sizioni hizo ajira??
Hivi leo si ndo 26? Mbona sizioni hizo ajira??