Serikali yatoa kibali ajira mpya za walimu.

Serikali yatoa kibali ajira mpya za walimu.

Namngoja mheshimiwa alietaarifu walimu wapya kuajiriwa February 26...ikipita hapo ctokaa nisikilize tena tetesi nitangoja mpaka pale yatakapotimia kwel...maana tetesi zilikuepo tokea September mwaka Jana.......
 
Habari za Uhakika kutoka TAMISEMI zinasema kuwa Serikali kuu imetoa kibali cha Ajira Mpya za Walimu mwaka 2014.Taarifa zaidi zinaeleza kwamba Halmashauri zimeombwa kuanza maandalizi ya Kupokea Walimu wapya kuanzia tarehe 10 March.Majina ya Walimu wapya yatatolewa tarehe 26 February na tarehe ya kuripoti ni 10/03/2014-19/03/2014.Source Afisa Tamisemi.

acha ujinga tena usije post tena huo uongo wako,tunahitaji source wapi, leta mada za msingi wewe na unapo post kitu usitumie kiroba think twice
 
Namngoja mheshimiwa alietaarifu walimu wapya kuajiriwa February 26...ikipita hapo ctokaa nisikilize tena tetesi nitangoja mpaka pale yatakapotimia kwel...maana tetesi zilikuepo tokea September mwaka Jana.......

tarehe 26 si ndio kesho Mungu awe nanyi Walimu Kesho iwe siku njema kwenu.
 
acheni kuleta uhuni humu wa kusema kwamba ajira wanatangaza eti kesho je wewe ni nani katika serikali ya waongo, andikeni vitu logic, siyokuleta umbea usio na ukweli ndani yake mafixadi bado wanalilia kuongezewa posho za bunge la katiba nanyi mnaleta umbea humu,leteni mada zinazo kuwa na chanzo cha habari wapi, yani pu..mb..fu sana

Kama unataka ukweli basi tumia avatar na jina lako halisi na sio kutudanganya hapa.
Pia matusi ya nn?
 
nikupe namba ya mtu alie jikoni akuhakikishie kwamba hata kesho ni urongo..??
 
Kama unataka ukweli basi tumia avatar na jina lako halisi na sio kutudanganya hapa.
Pia matusi ya nn?

unakera sana kwa kuandika kitu usicho kijua hata wewe mwenye baada ya kuwashauli walimu watafute miradi mingine kutokana na ajira hazionekani, unakaa na kuposti vitu usivyokuwa na uhakika navyo
 
Kama unataka ukweli basi tumia avatar na jina lako halisi na sio kutudanganya hapa.
Pia matusi ya nn?

unakera sana kwakudanganya walimu baada ya kuwashauli wafate kazi zingine unabakia kupost vitu usivyokuwa na uhakika
 
leo jamaaan ndugu zangu walimu c ndo tarehe 26feb ngoja tuona waoongo wote kama hawatapata ban leo hakiyanan mumezoea kutudanganya kwa habari zenu za viroba na kahawa za pale lumumba!
 
Hivi leo si ndo 26? Mbona sizioni hizo ajira??
 
Back
Top Bottom