Serikali yatoa kibali ajira mpya za walimu.

-------.... Ualimu ni umasikini , ualimu ni ishara ya mliofeli.
 
Trh 26 Ndio inaisha hivyo hixo ajira mpya za walimu xinatoka xa ngap tushachoka jaman.
 
Kuweni wazalendo kajitoleen kufundisha mtapewa vifuta jasho!shule nying kama una moyo wa kufanya kaz nenda kajitoleeee!
 
Fanya ujasiliamali mdogo mdogo utatoka tu@babukidela ulanzi unalipa
 
lakn ni kwel, mm mwenyewe hizo tetes zimenifikia, haizid tr 1march bila ya post
 
Leo asubuhi katika uchambuzi wa magazeti imetangazwa kua waalimu wameajiriwa kutokana na upungufu wa waalimu nchini
 
Leo asubuhi katika uchambuzi wa magazeti imetangazwa kua waalimu wameajiriwa kutokana na upungufu wa waalimu nchini
 
Ni kweli....natumai div five zitapungua huko mbeleni
 
Searikali itatoa majina wiki hii kwenye mtandao
 
Na pia taarifa mlizojaza chuoni wanazo sa mikoa ishapangwa ni kiasi cha kujua umepangwa halmashauri gani
 
Kwa kweli ila kuhusu mishahara wasipoongeza watakua wanalia kila mwaka
 
Kwa hiyo mwezi ujao vijana watacheka baada ya kununa saaana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…