Serikali yatoa kibali ajira mpya za walimu.

Serikali yatoa kibali ajira mpya za walimu.

huu uzushi wanapokezena kutoa matamko ili kutupa moyo, haya mambo ya mwezi ujao ndio yametufikisha mwezi wa pili toka ile ya mkuu wa kaya ya mwezi wa kwanza. kama sio tarehe 30 mwezi wa 3 cjui!!
 
Sasa wamekuja na njia mpya kutudanganya!Wameanza kutumia mass media kutudanganya!
 
kama hili litatimia huenda miaka ijayo walimu wasiajiliwe tena moja kwa moja maana serikali inadai upungufu wa walimu utabaki 21,000 tu.
 
Back
Top Bottom