Serikali yatoa kibali ajira mpya za walimu.

Serikali yatoa kibali ajira mpya za walimu.

Nendeni mm sitegemei kuwajiriwa mjasiriamali bado yupo juu maotaka ajira mtanyanyaswa tu mwezi wa sita nami natangaza ajira 20 uwasibu 2 kubeba box 15 mkurugenzi 1 secretariet wa 2 mshahara juu kuliko walimu 45000
 
Tunajua wameshapanga,tunataka kujua tumepangwa wapi na sio porojo za kutufariji ilhali mambo bado hayapo wazi,watuambie fulani atakwenda halmashauri fulani,hilo tu ndo muhimu,wengine tushaanza kazi private na tunashawishika kubaki huku kwa sababu ya mishahara minono,kweli kusoma science ni rahaaaaa!!!!!!!!
 
Nani hataki ajira...ajira n ajira ht km lak 2 kwa mwez,ukiwa na kitu ni rahisi kupata kitu.
 
Uzi huu una haja ya kuwepo? Mbona upo mwingine kama huu?

CC: Cyan6
 
Last edited by a moderator:
Haya sasa zimetangazwa Leo tar 27 mtabir hakuwa mbali sana
 
Mtabiri hakuwa mbali sana na utabiri wake mana zimetangazwa Leo tar 27 kwenye vyombo vya habari mfano gazeti la uhuru
 
na iwe hivyo kwa jina yesu coz kitaa nacheza offside kama chacharitto soon napewa red card
 
Haya sasa zimetangazwa Leo tar 27 mtabir hakuwa mbali sana

hiv kumbe had leo hii kuna wananch hawajitambui kiasi hiki sikuelewa.....tena mtu alie katka ulimwengu huu wa digital.....ETI UALIM NI UMASKINI elimika ww nyangema.watu kamanyie ndo hua mnakuwa wa kwanza kulalamika matokeo mabovu.......hv kwanza ww ni mtanzania kweli au mkongo......duuuu
 
leo tarehe ishirini na saba(27) waheshimiwa.........sasa huyo aliesema tarehe 26 yuko wapi? hebu msiwe mnalopoka lopoka tu.....
 
hiv kumbe had leo hii kuna wananch hawajitambui kiasi hiki sikuelewa.....tena mtu alie katka ulimwengu huu wa digital.....ETI UALIM NI UMASKINI elimika ww nyangema.watu kamanyie ndo hua mnakuwa wa kwanza kulalamika matokeo mabovu.......hv kwanza ww ni mtanzania kweli au mkongo......duuuu

Mbona ckuelewi ndugu
 
Kutokana na kutokuwa n uhakika wa budget hatimae jana wizara hizi zimeamua kufikia uamuzi ambapo pesa zilizo kuwa na mvutano kuhusu ajira mpya za walimu zimekubaliwa kutoka ingawa bado hazijatilewa hivyo serikali kutangza ajira 36000 pamoja na pesa za mafunzo kwa vitendo ambazo zinatakiwa kutumwa vyuoni mapema wiki ijayo ,lakini taarifa zilizopo ni kwamba imebaki awamu moja tu ya ajira ambayo ni 2014/2015.hivyo yale maamuzi amabyo yalifikia awali yamebatilishwa baada ya uhakika wa pesa kutoka hazina.hivyo mwezi wa tatu walimu watarajie kuanza kuajiriwa,
 
hiv kumbe had leo hii kuna wananch hawajitambui kiasi hiki sikuelewa.....tena mtu alie katka ulimwengu huu wa digital.....ETI UALIM NI UMASKINI elimika ww nyangema.watu kamanyie ndo hua mnakuwa wa kwanza kulalamika matokeo mabovu.......hv kwanza ww ni mtanzania kweli au mkongo......duuuu

Mana mi nasema kuwa Ajira ni tar 27 zimetangazwa Leo we unanireply kuwa ualimu ni umasikini
 
mtoto akicheua.....mpulize kichwani! wasijewakawa wanatimiza methali hii.
 
Nendeni mm sitegemei kuwajiriwa mjasiriamali bado yupo juu maotaka ajira mtanyanyaswa tu mwezi wa sita nami natangaza ajira 20 uwasibu 2 kubeba box 15 mkurugenzi 1 secretariet wa 2 mshahara juu kuliko walimu 45000

Acha kuwavunja watu mioyo brother!

ndugu Jampa alichokiongea dady1000 ni UKWELI mtupu lakini kosa lake kakosea kabisa mahala pa kuweka, kuna baadhi ya ajira ambazo ukiajiriwa ni UTUMWA lakini sio UALIMU, AFYA na ULINZI/USALAMA sekta hizi ni muhimu zaidi na hata iweje watu wa fani hizi wanahitajika zaidi na zaidi na zaidi, muulize bila hao WALIMU huo ufanisi wa UJASIRIAMALI angeupata wapi?..me mwenyewe pamoja na ELIMU yangu ya juu lakini ni MJASIRIAMALI na nazitengeneza mno ila UJASIRIAMALI nalifundishwa na MWALIMU tena aliyekuwa bado hajamaliza mafunzo yake ya ualimu wakati huo..

N.B: ndugu dady1000 anahitaji mwalimu kwani hajui uhasibu yeye anajua uwasibu, afu mshahara wa hao wafanayakazi wake atawalipa 45000, moja ya kumi ya ule wa ualimu nadhani hapa kadanaganya umma. Na aombe msamaha tafadhari vinginevyo kajitusi mwenyewe.
 
Back
Top Bottom