Serikali yatoa kibali ajira mpya za walimu.

huu uzushi wanapokezena kutoa matamko ili kutupa moyo, haya mambo ya mwezi ujao ndio yametufikisha mwezi wa pili toka ile ya mkuu wa kaya ya mwezi wa kwanza. kama sio tarehe 30 mwezi wa 3 cjui!!
 
Hata mm nimeinasa kwenye RFA tuongee magazetini gazeti la UHURU
 
Sasa wamekuja na njia mpya kutudanganya!Wameanza kutumia mass media kutudanganya!
 
Jaman mbona hatuzion kwenye mtandao ni kwel au poyoyo tu

Taarifa hiyo inasomeka hivi,
'' Serikali yatangaza ajira mpya za walimu 36 elfu, kupangiwa vituo vya kazi mwezi ujao, upungufu utabakia 21 elfu''
 
kama hili litatimia huenda miaka ijayo walimu wasiajiliwe tena moja kwa moja maana serikali inadai upungufu wa walimu utabaki 21,000 tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…