Serikali yatoa kibali ajira mpya za walimu.

Serikali yatoa kibali ajira mpya za walimu.

Mwaka huu tutasikia mengi sana,kila mtu aja na lake, tarehe 26 si juzi juzi tu. Haya ngoja tungoje. Japo ninauhakika robo robo maana tetesi zimezidi.
 
Serikali sikivu,maisha bora kwa kila mtanzania,tekelezeni kwa vitendo,TANZANIA BILA UJINGA INAWEZEKANA.
 
msiwe na uhakika sana na hiyo kesho maana hii selikali huenda imehalalisha uongo na umekuwa si dhambi tena... hivi nyie mnadhani mh, jen anapenda kuonekana mwongo?
 
Ee Mungu wasaidie hawa waalimu wetu ajira zao zitoke tupumzike kusikia huu wimbo wa kesho kesho.
 
Mwaka jana nakumbuka walimu waliripoti kazini mwanzoni mwa Aprili. So sidhan kama mwezi Machi as stated kama itakua ni kweli ukizingatia kuwa mwezi huu ndio unaisha ijumaa hii.
 
Bt all in all zisipotoka kesho tusubiri mwezi wa 3 tu tukiangalia waliomaliza 2011 post zilitoka January alafu wakaanza February wa2012 zilitoka Feb wakaanza march so kwa sisi ikiwa itakuwa ni Hii February itakuwa bahat bt sana sana zinaweza toka mwezi wa 3 alafu April kazini
 
Mwaka jana nakumbuka walimu waliripoti kazini mwanzoni mwa Aprili. So sidhan kama mwezi Machi as stated kama itakua ni kweli ukizingatia kuwa mwezi huu ndio unaisha ijumaa hii.

hujui kitu wewe kaa kimya, usivamie mambo yasiyokuhusu!!
 
Habari za Uhakika kutoka TAMISEMI zinasema kuwa Serikali kuu imetoa kibali cha Ajira Mpya za Walimu mwaka 2014.Taarifa zaidi zinaeleza kwamba Halmashauri zimeombwa kuanza maandalizi ya Kupokea Walimu wapya kuanzia tarehe 10 March.Majina ya Walimu wapya yatatolewa tarehe 26 February na tarehe ya kuripoti ni 10/03/2014-19/03/2014.Source Afisa Tamisemi.
Mkuu jiandae kuvuna aibu za kutosha kesho!!! Tar 26.na tafadhari usilikimbie jukwaa.
 
Mkuu jiandae kuvuna aibu za kutosha kesho!!! Tar 26.na tafadhari usilikimbie jukwaa.

Mbona unamfundisha woga mwenzio (unamtishia).
Wewe mwenyewe hapo ni muongo maana umetumia jina na avatar feki je kuna mtu amekutishia kwa hilo?

Vp kama zikitoka utasemaje?
 
Karibuni sana ajira zikitoka,ila kuna mdudu anaitwa BRN anasumbua vichwa vyetu huku kazini.
ila msiogope.
 
Last edited by a moderator:
acheni kuleta uhuni humu wa kusema kwamba ajira wanatangaza eti kesho je wewe ni nani katika serikali ya waongo, andikeni vitu logic, siyokuleta umbea usio na ukweli ndani yake mafixadi bado wanalilia kuongezewa posho za bunge la katiba nanyi mnaleta umbea humu,leteni mada zinazo kuwa na chanzo cha habari wapi, yani pu..mb..fu sana
 
Back
Top Bottom