Serikali yatoa kibali ajira mpya za walimu.

Serikali yatoa kibali ajira mpya za walimu.

mwalimu wenu, Taarifa ya ajira zenu hii hapa
Hivi jamani hii taarifa ya ajira imetolewa na nani?
attachment.php
 
Tunashukuru kwa maneno hayo mzazi, hakika tumechoka tetesi@
 
Dah waalim mnachekesha sana na hizo ajira, labda mkafundishe twishen ndo mtatoka. Other wise bora ata ufungue kibanda cha vocha!

Something is better than nothing ndugu so usidharau Ajira ya ualimu
 
wadau hivi hii mala ya ngapi watumishi wa wizara husika wametoa matamko na hayajazaaa matunda, tunaanza na mh alisema ajira ni january, haya akaja mwimgine akasema ni february mwazoni haya leo tena wanawambia wanetu ajira ni mwezi march bila kusema tarehe ni lini ebu acheni uhuni nyie wizara ya utumishi kuwezi wawazi nasema hizi ni polisi story yani ukweli haujulikani ni maneno maneno tu mpaka wazazi tumechoka sasa maana wanetu wanasikitika mpaka tunawaonea huruma poleni vijana wetu mungu atawasaidia waswahili wana sema mchawi akikuloga hazuii riziki yako bali anaichelewesha tu so kama ipo ipo tu wanetu msife moyo.

Tunashukuru mzazi kwa kutufariji jama yn hapa tunaombea tu iwe kweli hiyo april 1
 
Back
Top Bottom