Serikali yatoa Msamaha wa Kodi kwa Biashara Mpya kwa Mwaka Mmoja

Serikali yatoa Msamaha wa Kodi kwa Biashara Mpya kwa Mwaka Mmoja

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
1,194
Reaction score
911
Kuanzia Julai 1, 2026, Serikali imeanza kutoa msamaha wa kodi ya mapato kwa mwaka mmoja kwa biashara mpya, ukihesabiwa kuanzia tarehe ya kupata TIN. Hatua hiyo inalenga kupunguza mzigo wa kodi kwa wafanyabiashara wanaoanza, kuchochea uanzishaji wa biashara mpya na kuhamasisha urasimishaji wa sekta isiyo rasmi.
HS5mATgXwAAf_Ax.jpg
 
Back
Top Bottom