Serikali yatoa msimamo kuhusu Uraia Pacha

Serikali yatoa msimamo kuhusu Uraia Pacha

Brah Brah Brah. Kenya Uganda na Rwanda wametutangulia kwa zaidi ya miaka kumi katika jambo hili. Tanzania wanaogopoa uraia pachja kwa sababu za kijinga tu na hasa kutokana na kuwa na upeo mfupi wa kutunga sheria. Sheria za Kenya zinawalinda waliozaliwa Kenya ila zina vikwazo kwa wanaoomba kuwa raiia wa kenya; kwa nini sheria za Tanzania zisiwe hivyo pia?

 
Back
Top Bottom