Mjasiri na Mali
JF-Expert Member
- Jun 24, 2017
- 5,366
- 14,167
Itatuchukua muda sana asee. Wajinga ni wengi sana mkuu.Changamoto kubwa ambayo Taifa la Tanzania linapitia ni kuwa na wananchi mapunguani.
Makamba yenyewe ni MITA MIA TANO manake nusu kilomita. Wanakula na hawachoki na bado wanavimbiwa tu. Mungu ibariki CCMWengi "WANAKULA KWA UREFU WA KAMBA ZAO"
Tanzania watu wameridhika.. mtu akishapata chakula hana shida ya kupambania sijui umeme, maji ya bomba safi, elimu nzuri nk. Hio haitabadilika leo sababu chakula nchi hii kipo kingi sana.. Tungekuwa jangwa kama Somalia , CCM wangeisoma nambaItatuchukua muda sana asee. Wajinga ni wengi sana mkuu.
Mimi siku wakisema kwa nn bei ya chuma imepanda ndipo nitawaelewaWaziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara ameitaka tume ya ushindani FCC kutoa ripoti kwa serikali ikieleza kwanini Vinywaji baridi na Vifaa vya ujenzi vimepanda bei...
Yeye mwenyewe Rais wa nchindiye aliamashisha kuwa kila mbuzi ale urefu wa kamba yake, sasa anataka wafanyabiashara wafanyeje?Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara ameitaka tume ya ushindani FCC kutoa ripoti kwa serikali ikieleza kwanini Vinywaji baridi na Vifaa vya ujenzi vimepanda bei...
WaTz wanaridhika sana. Chakula tu.. basi hawahitaji zaidi ya hapo.. maybe smart phone tu.. basiChangamoto kubwa ambayo Taifa la Tanzania linapitia ni kuwa na wananchi mapunguani.
Vyuma havishikiki kaka. Kuanzia nondo, hollow, nk.. ni hatareee. Watu wanarudi kwenye mbao tena sasa ivi... milango ya grill na madirisha yanapoteza demand kwa kasiMimi siku wakisema kwa nn bei ya chuma imepanda ndipo nitawaelewa
Kuna vichwa sisi tunafikri vimejaza ubongo kumbe ni ma.vi!Serikali ambayo Rais wake ni fisadi anaehamasisha ufisadi serikalini haina credibility ya kuhoji vitu kupanda bei kwa sababu ufisadi ndiyo sababu namba moja ya bidhaa kupanda bei katika Taifa.View attachment 2085253
Huyu waziri ana mda mrefu,hii nchi imeisha rudi mikononi mwa wafanyabiashara,subiri kidogo utasikia,zile kauli za ninaongea na mwenye mbwa,siongei na mbwa ndio Wakati wake, wengine walishaanza kuitwa viroboto 🤣🤣🤣Dr. Ashantu namkubali sana ni miongoni mwa Mawaziri Serious kwenye kazi, mfuatiliaji mzuri sana.
mwenye kujitoa kwa ajili ya wananchi.
naamini kuna jambo litayokea.
Inasikitisha sana kuona tuna wataalamu wa kutosha ktk kila idara za Serikali lkn wamekaaa kimyaaa.........bidhaaa zinapanda bei ovyoo, bidhaa zinaadimika......wao wapo kimya kama vile hawapo......!!!
watanzania mlio pewa dhamana ktk nafasi mbalimbali badilikeni.
Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara ameitaka tume ya ushindani FCC kutoa ripoti kwa serikali ikieleza kwanini Vinywaji baridi na Vifaa vya ujenzi vimepanda bei.
Waziri ametoa siku 3 kwa ripoti ya Sida na siku 7 kwa vifaa vya ujenzi ziwe zimemfikia kwani inashangaza kusikia Soda zimeadimika ghafla soda zimerudi na bei iko juu.
Source: ITV habari
Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara ameitaka tume ya ushindani FCC kutoa ripoti kwa serikali ikieleza kwanini Vinywaji baridi na Vifaa vya ujenzi vimepanda bei.
Waziri ametoa siku 3 kwa ripoti ya Sida na siku 7 kwa vifaa vya ujenzi ziwe zimemfikia kwani inashangaza kusikia Soda zimeadimika ghafla soda zimerudi na bei iko juu.
Source: ITV habari
Sababu ya 4 ndio yenye mashiko ila hizo zingine hamna kitu kama hichoSababu ni hizi..
1. Uhaba wa maji
2. Mgao wa umeme.
3. Kupanda kwa bei za nishati (gesi na petrol)
4. Kodi, ushuru na tozo.
Elezea vifaa vya ujenzi sasa.coca cola ni maintenance problem kutokana na ngozi nyeupe walikwenda likizo ya mwisho wa mwisho wa mwaka pia mkanda ukazingua kiwandani. hivyo unatumika mkanda mmoja ndio maana wanazalisha soda aina moja kila baada ya siku kadhaa.walioko hawana ujuzi mpaka warudi ngozi nyeupe.
imepelekea pepsi kutumika kwa wingi kuliko uzalishaji wake. pia jua linachangia watu kunywa vinywaji baridi kwa wingi. tar 20 ngozi nyeupe watakuwepo kwenye nchi ya kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake
coca cola ni maintenance problem kutokana na ngozi nyeupe walikwenda likizo ya mwisho wa mwisho wa mwaka pia mkanda ukazingua kiwandani. hivyo unatumika mkanda mmoja ndio maana wanazalisha soda aina moja kila baada ya siku kadhaa.walioko hawana ujuzi mpaka warudi ngozi nyeupe.
imepelekea pepsi kutumika kwa wingi kuliko uzalishaji wake. pia jua linachangia watu kunywa vinywaji baridi kwa wingi. tar 20 ngozi nyeupe watakuwepo kwenye nchi ya kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake
Punguani wa kwanza ni wewe....Changamoto kubwa ambayo Taifa la Tanzania linapitia ni kuwa na wananchi mapunguani.