Serikali yatoa ufafanuzi kuhusu Tanzania kupanga kununua umeme nchini Ethiopia

Wapi mbali, kati ya kutoka stiglazi goji mpaka kasakazini na kutoka Ethiopia hadi kasakazini ?😏
Umenikumbusha lile swali maarufu kule Dom, " wapi mbali kati ya Dodoma na Tanzania".

Huwa najiuliza kwa hizi stori za ahadi za mwana Tanu kufanya watu wajinga na kodi kununua mashangingi badala ya kujenga viwanda na reli na kutatua shida za maji na ajira kwa vijana , je viongozi wetu wakidedi , ule muda baada ya karo mfano wa kaburi kuwekwa mfuniko wa zege ili wasitoke iwapo watafufuka usiku , basi je mapokezi yao yakoje huko kuzimu! Maana si kwa wizi za dizaini hii mchana kweupe.
Of course nami pia nitaenda kuzimu!
 
Kwa heri....unajua gharama kusafirisha 33KV to km 600? Acheni fani zacwatu sio siasa hiii....kwa heriii
Boss unamaanisha kuwa Bwawa la Rufiji imeua kabisa uzalishaji wa mabwawa kama Pangani, Hale, Nyumba ya Mungu? Umeme kutoka Ethiopia inafanya nini hapo Kenya mpakani 200km kutoka Tanzania?
 
Kuna nguzo zinaonekana kati ya Chalinze na Tanga je kwanini hizo zisitumike kusafirisha umeme kutoka chalinze kwenda huko Kasakazini sawa tu na hizo zilizoko Kenya?
 
 

Attachments

  • VID-20250310-WA0020.mp4
    2.2 MB
Pole sana kwa msiba ndugu.
 
Kuna nguzo zinaonekana kati ya Chalinze na Tanga je kwanini hizo zisitumike kusafirisha umeme kutoka chalinze kwenda huko Kasakazini sawa tu na hizo zilizoko Kenya?
Sawa watatumia...kama wataona hazina kazi....
 
Kama rais Samia angekuwa ndiyo Mungu basi Tanzania ingekuwa ni nchi takatifu iliyobarikiwa sana

Na maanisha kwamba kama tungemsifu Mungu kiasi cha Samia basi Mungu angetubariki kupitiliza

Biblia ina ujazo wa kutosha sana imezungumza kuhusu watu wanaosifu watu sifa wasiyonazo na watu wanaopokea sifa wasiyonazo kwamba hawa wote ni watu wa aina gani
 
Huu ufafanuzi wa serikali unagongelea misumali ya moto kwenye jeneza la ma-ccm.Huu ufafanuzi ni nonsense.

Mimi nimesha andaa nyundo, Oktoba 2025 tunagongelea na kuizika ccm.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…