Serikali yatoa ufafanuzi kuhusu Tanzania kupanga kununua umeme nchini Ethiopia

Sijui kama huyu mama anajua anachokifanya? Sioni kama anaelewa....AIBU SANA NCHI HII.
 
Wao wanasema kwakuwa Kenya imenunua umeme toka Ethiopia watauchukua umeme wa Ethiopia kupitia Kenya ambapo ni karibu na kanda ya Kaskazini kuliko kuuchukua Rufiji ambapo ni mbali na kanda hiyo!
Ila swali ni je umeme wa Rufiji watauza nchi gani ambapo siyo mbali?! Au wamepnga kuuza Msumbiji peke yake?!
 
Huu ufafanuzi wa serikali unagongelea misumali ya moto kwenye jeneza la ma-ccm.Huu ufafanuzi ni nonsense.

Mimi nimesha andaa nyundo, Oktoba 2025 tunagongelea na kuizika ccm.
Muda wa kuizika CCM bado sana kwa sababu yatakiwa kuiua kwanza kabla ya kuizika!
Na tatizo la CCM kuendelea kubaki sana madarakani ni kwakuwa hadi muda ninapooandika maneno haya HAKUNA CHAMA MAKINI CHA UPINZANI AMBACHO KIPO SERIOUS KUSHIKA NAFASI YA CCM.
Vyama vya upinzani vipi katika maigizo ya upinzani kutokana na viongozi wake kutawalaiwa na tamaa ya madaraka na ubinafsi na kila kimoja kutaka kujionyesha kuwa ndicho cha upinzani hasa na ndicho chenye haki na uwezo wa kuiondoa CCM madarakani.
Ni hadi hapo ambapo wapinzani wataacha kupingana wenyewe kwa wenyewe ndipo watakapopata nguvu ya kuiondoa CCM madarakani!.
 
Kutoka kutaka kuuza mpaka kununua umeme Ethiopia lol!
Kama tunashindwa kuutoa umeme bwawa la mwalimu nyerere kwenda kigoma na Arusha ndio tutaweza kuutoa bwawa la mwalimu nyerere kwenda DRC au tulitaka kuuza online?
 
πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€walitaka kutuma kwa mpesa hii nchi hakuna kitu tutaweza kama Mradi we mwendokasi barabara zimejengwa kwa mabilion ya hela leo hakuna magari polisi wana kazi ya kukamata magari private yanayotumia bara bara ya mwendokasi.
 
Nchi ngumu sana hii
 
Hauna tofauti na yule jamaa aliyesema yeye hajengi nyumba anapanga kwa sababu ni bei rahisi,kuja kushtuka umri umeenda ana watoto watano hawezi tena kupanga nyumba sababu amestaafu anakufa na presha.
 
Hauna tofauti na yule jamaa aliyesema yeye hajengi nyumba anapanga kwa sababu ni bei rahisi,kuja kushtuka umri umeenda ana watoto watano hawezi tena kupanga nyumba sababu amestaafu anakufa na presha.
Kupanga ni kuchaguaaas
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…