Serikali yatoa ufafanuzi kuhusu Tanzania kupanga kununua umeme nchini Ethiopia

Serikali yatoa ufafanuzi kuhusu Tanzania kupanga kununua umeme nchini Ethiopia

More of the nonsense ni kutokuwa na strategy inayoeleweka.

Uwezi kuamka asubuhi moja na kusema ukimaliza mradi fulani utakuwa self sustainable, only one year down the line kusema utanunua umeme wakati una surplus ya uzalishaji.

Uwezi miaka miwili nyuma kusema ufutiwe madeni ya shirika ya trillion kama tatu, to ease liquidity na cash flow ya shirika. Ili usumbaze ubaki na hela ya kusambaza kwa kasi.

Uwezi kuomba miaka miwili nyuma kuomba kuongeza kupandisha gharama ya kuunganishia watu umeme (ilhali demand kubwa) upewe kibali ili uongezd kasi ya kusambaza miundombinu na kukubaliwa.

Uwezi kuomba ndani ya miaka miwili upandishe unit costs za umeme ili uongeze revenue kwa makusudi ya kusambaza umeme halafu leo huna hiyo kasi.

Umefutiwa madeni ili kukupa nafuu ya liquidity upate hela ya miradi ya kusambaza umeme.

Umejengewa chanzo cha megawatt kubwa na sub stations kadhaa ili usambaze umeme.

Umeruhusiwa kuongeza unit cost ili mapato yaongezeke uongeze speed ya kusambaza umeme.

Umeruhusiwa kuongeza ila ya kuunganisha umeme ili mapato yaongezeke, upate speed ya kuwaunganishia watu.

Serikali inakopa na kwa miradi ya REA ili kuongeza kasi ya kuwaunganishia watu umeme.

Halafu leo unasema unanunua umeme kwa sababu uwezi fikia watu kwa speed.

Upumbavu wa Tanzania unatutosha wenyewe.

Sijapata kuona nchi inayoongozwa na mazuzu.

My god the nonsense.

Kuna mtu kabisa na akili zake timamu anadirika kumtusi Magufuli; kwa hilo pambo tuliloliweka Ikulu.

Nchi ya hovyo mno.

Raisi wa hovyo mno, uulizi jamani mbona nimewabeba sana; tumefikaje tena hapa. Wanamuwekea mataahira tu kama washauri wake wa uchumi na biashara, aropoke hovyo,
Sijui kama huyu mama anajua anachokifanya? Sioni kama anaelewa....AIBU SANA NCHI HII.
 
Pia kiwanda cha sukari cha tpc kinazalisha umeme mwingi tu ila urasimu ni mkubwa sana wa TANESCO .

Dili zimeanza .

Yaani umeme utoke Ethiopia mpaka Tanzania uwe bei Rahisi kuliko unaotoka Rufiji

Huyu Mzanzibari ni hatri sana .
Ndio maana amehamishia kampeni zake kwa masingle maza vitenge vyake .

Bahati mbaya hatuna tena waandishi wa habari wenye ujazo ule wa Akina Jenerali Ulimwengu.

CCM ni ile ile .

Kama kuna chama kinategemea uchaguzi kwenye ufisadi wa watu wasio hata na hofu ni hatari sana
Wao wanasema kwakuwa Kenya imenunua umeme toka Ethiopia watauchukua umeme wa Ethiopia kupitia Kenya ambapo ni karibu na kanda ya Kaskazini kuliko kuuchukua Rufiji ambapo ni mbali na kanda hiyo!
Ila swali ni je umeme wa Rufiji watauza nchi gani ambapo siyo mbali?! Au wamepnga kuuza Msumbiji peke yake?!
 
Huu ufafanuzi wa serikali unagongelea misumali ya moto kwenye jeneza la ma-ccm.Huu ufafanuzi ni nonsense.

Mimi nimesha andaa nyundo, Oktoba 2025 tunagongelea na kuizika ccm.
Muda wa kuizika CCM bado sana kwa sababu yatakiwa kuiua kwanza kabla ya kuizika!
Na tatizo la CCM kuendelea kubaki sana madarakani ni kwakuwa hadi muda ninapooandika maneno haya HAKUNA CHAMA MAKINI CHA UPINZANI AMBACHO KIPO SERIOUS KUSHIKA NAFASI YA CCM.
Vyama vya upinzani vipi katika maigizo ya upinzani kutokana na viongozi wake kutawalaiwa na tamaa ya madaraka na ubinafsi na kila kimoja kutaka kujionyesha kuwa ndicho cha upinzani hasa na ndicho chenye haki na uwezo wa kuiondoa CCM madarakani.
Ni hadi hapo ambapo wapinzani wataacha kupingana wenyewe kwa wenyewe ndipo watakapopata nguvu ya kuiondoa CCM madarakani!.
 
Kutoka kutaka kuuza mpaka kununua umeme Ethiopia lol!
Kama tunashindwa kuutoa umeme bwawa la mwalimu nyerere kwenda kigoma na Arusha ndio tutaweza kuutoa bwawa la mwalimu nyerere kwenda DRC au tulitaka kuuza online?
 
Kutoka kutaka kuuza mpaka kununua umeme Ethiopia lol!
Kama tunashindwa kuutoa umeme bwawa la mwalimu nyerere kwenda kigoma na Arusha ndio tutaweza kuutoa bwawa la mwalimu nyerere kwenda DRC au tulitaka kuuza online?
😀 😀 😀walitaka kutuma kwa mpesa hii nchi hakuna kitu tutaweza kama Mradi we mwendokasi barabara zimejengwa kwa mabilion ya hela leo hakuna magari polisi wana kazi ya kukamata magari private yanayotumia bara bara ya mwendokasi.
 
😀 😀 😀walitaka kutuma kwa mpesa hii nchi hakuna kitu tutaweza kama Mradi we mwendokasi barabara zimejengwa kwa mabilion ya hela leo hakuna magari polisi wana kazi ya kukamata magari private yanayotumia bara bara ya mwendokasi.
Nchi ngumu sana hii
 
Ni kweli nchi ina umeme wa kutosha lakini haina maana kwasababu umeme upo wa kutosha basi unaweza kuupeleka popote pasipo kufanya tathmini!

Iko hivi umeme kutoka vyanzo vikuu vya umeme wa uhakika Rufiji na mikoa mingine ukitaka kuusafirisha kwenda mikoa ya kaskazini unakuwa unazungumzia mradi wa wastani wa 800km ~900Km

Gharama za kusafirisha umeme kwa umbali huo ni kubwa mno ukilinganisha na kuuchukulia hapo kenya .
Wanaposema umeme wa Ethiopia haina maana uko huko Ethiopia! Ni uko hapo jilani kenya wastani wa km 250km~300km tu

Hivyo ukichukulia gharama za kuusafirisha umeme kwa wastani 50mil kwa kila span moja ( nguzo moja hadi nyingine) hapa tutazungumzia wastani wa span elf 8000 hadi 9000 endapo utaamua kuutoa mikoa ya rufiji!

Soma Pia: Rais Samia: Serikali itanunua Umeme nje maalum kwa Mikoa ya Kaskazini

Mbali na gharama hizo mradi mkubwa kama huo unahitaji kulipa watu fidia na kuchepusha miundombinu itayoingiliana hapo katikati ya mradi!

Miradi ya mabomba ya mafuta yaliyopita ardhini yatalazimisha kubadilisha span badala ya kupitisha umeme juu ya bomba ushushwe chini (underground) ili kuepusha muingiliano wa frequency za umeme na zile za bomba la mafuta! Yote hayo yanapaisha gharama za mradi!

Muda wa kuujenga mradi mkubwa kama huo unaweza kuchukua miaka siyo chini ya mitano!

Upotevu wa umeme hapo katikati (power losses) kwa umbali huo ni Mkubwa ukilinganisha na faida utayovuna ukiuufikisha mikoa husika ya kaskazini!

Yote tisa hata kama umeme upo lakini kama jilani ana bei rahisi kuliko za nchi yetu kwanini kujichosha ilihali kwa jilani anao umeme karibu na ni bei nafuu zaidi?

Ambao hawajaelewa naomba kutoa mfano huu!
Hauna tofauti na yule jamaa aliyesema yeye hajengi nyumba anapanga kwa sababu ni bei rahisi,kuja kushtuka umri umeenda ana watoto watano hawezi tena kupanga nyumba sababu amestaafu anakufa na presha.
 
Hauna tofauti na yule jamaa aliyesema yeye hajengi nyumba anapanga kwa sababu ni bei rahisi,kuja kushtuka umri umeenda ana watoto watano hawezi tena kupanga nyumba sababu amestaafu anakufa na presha.
Kupanga ni kuchaguaaas
 
Back
Top Bottom