peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Katibu Mkuu,Ofisi ya Waziri Mkuu(Kazi,Vijana,Ajira na Wenye ulemavu,Mhandisi Cyprian Luhemeja,amesema gharama za fidia zimeongezeka kutoka Sh13.19 bilioni kwa kipindi kilichoishia Juni 2021 hadi kufikia Sh27.93 bilioni kwa kipindi kilichoishia Juni 2023 huku taarifa ya baadhi ya mifuko ya hifadhi ya jamii hapa nchini kwa kipindi cha mwaka mmoja Julai 2020/21, ajali zilizoripotiwa zilikuwa 1889 na kati hizo vifo vilikuwa 75.