Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 67,252
- 168,563
Kila la kheri timu zetu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kila la kheri timu zetu
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Damas Ndumbaro amesema Serikali itakutana na Shirikisho la Soka nchini na klabu za Simba na Yanga ili kuona inatoa mchango gani kuhakikisha timu hizo zinafanya vizuri robo fainali na kusonga mbele.
Kuhusu mashabiki amesema; "Watanzania niwaombe sana najua kuna utani wa jadi, lakini kwenye mechi hizi za robo fainali ni mechi za kufa na kupona, hatutegemei kuona Mtanzania yeyote akienda kupokea wageni uwanja wa ndege, ama kuvaa jezi za timu za wageni."
"Sisi kama Serikali hatutawaachia hili TFF
"Kwa hiyo wewe Mtanzania ambaye utaweka kimbelembele kwenda kupokea wageni uwanjani wa ndege, kuwasapoti kwa namna yeyote, hatutakuelewa na tutadili na wewe kwa vile ambavyo tunaona inafaa."
Mwaka 2016 Yanga na TP Mazembe unadhani Simba hawakuwapokea TP Mazembe na kushangilia juuu wakiwa na jezi za Mazembe?Sijawahi kuona simba wakipokea wageni hayo ni mambo ya Yanga
Mamemilod hawahitaji mapokezi...watatuchapa tu.Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Damas Ndumbaro amesema Serikali itakutana na Shirikisho la Soka nchini na klabu za Simba na Yanga ili kuona inatoa mchango gani kuhakikisha timu hizo zinafanya vizuri robo fainali na kusonga mbele.
Waziri Ndumbaro amesema pamoja na mambo mengine, amewataka mashabiki kuacha kuwapokea mashabiki na wafahamu mechi hizi za robo fainali ni kufa na kupona na kinachotakiwa ni kuhakikisha timu zetu zinashinda.
Amesema Serikali itakula sahani moja na mashabiki wa Simba na Yanga ambao wataenda kupokea wageni uwanja wa ndege na kuwasapoti.
"Wiki iliyopita tulitoa tamko, Serikali tunataka kukaa na Simba, Yanga na TFF, ili watuambie kama serikali, tunahitaji kutoa mchango gani ili timu kushinda robo fainali na ziingie nusu fainali. Tunaweza kukutana Jumanne wiki ijayo ili kupanga mikakati."
Kuhusu mashabiki amesema; "Watanzania niwaombe sana najua kuna utani wa jadi, lakini kwenye mechi hizi za robo fainali ni mechi za kufa na kupona, hatutegemei kuona Mtanzania yeyote akienda kupokea wageni uwanja wa ndege, ama kuvaa jezi za timu za wageni."
"Sisi kama Serikali hatutawaachia hili TFF wala Simba na Yanga, kwa hiyo tukihangaika na mtu ambaye tutaona ni msaliti. Tunaomba Watanzania watuelewe na watusamehe kwa sababu tunataka timu hizi zifanikiwe."
"Kwa hiyo wewe Mtanzania ambaye utaweka kimbelembele kwenda kupokea wageni uwanjani wa ndege, kuwasapoti kwa namna yeyote, hatutakuelewa na tutadili na wewe kwa vile ambavyo tunaona inafaa."
"Tumekuwa nchi pekee iliyofanikiwa kuingiza timu mbili mwaka huu, lakini ukishapata mafanikio haupaswi kutumia muda mwingi sana kushangilia hayo mafanikio, unatakiwa uangalie unafanya nini ili kuendelea kupata mafanikio zaidi." Amesema.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mlishindwa kuwachukulia hatua Heris Raisi wa Yanga na manara Kwa kuvaa jezi za kaizer chief kisa Leo timu lenu lipo club bingwa mtuzuie haiwezekani sisi ni masandawana
[emoji23][emoji23][emoji23]Aaaah mboni tunapangiana huu wivu wa furaha
Kwanza wawakndoe wachezaji waliowaita iliwabakie na vilabu pili wazee wa pemba waitwe kupigwe dua kali snWaziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Damas Ndumbaro amesema Serikali itakutana na Shirikisho la Soka nchini na klabu za Simba na Yanga ili kuona inatoa mchango gani kuhakikisha timu hizo zinafanya vizuri robo fainali na kusonga mbele.
Waziri Ndumbaro amesema pamoja na mambo mengine, amewataka mashabiki kuacha kuwapokea mashabiki na wafahamu mechi hizi za robo fainali ni kufa na kupona na kinachotakiwa ni kuhakikisha timu zetu zinashinda.
Amesema Serikali itakula sahani moja na mashabiki wa Simba na Yanga ambao wataenda kupokea wageni uwanja wa ndege na kuwasapoti.
"Wiki iliyopita tulitoa tamko, Serikali tunataka kukaa na Simba, Yanga na TFF, ili watuambie kama serikali, tunahitaji kutoa mchango gani ili timu kushinda robo fainali na ziingie nusu fainali. Tunaweza kukutana Jumanne wiki ijayo ili kupanga mikakati."
Kuhusu mashabiki amesema; "Watanzania niwaombe sana najua kuna utani wa jadi, lakini kwenye mechi hizi za robo fainali ni mechi za kufa na kupona, hatutegemei kuona Mtanzania yeyote akienda kupokea wageni uwanja wa ndege, ama kuvaa jezi za timu za wageni."
"Sisi kama Serikali hatutawaachia hili TFF wala Simba na Yanga, kwa hiyo tukihangaika na mtu ambaye tutaona ni msaliti. Tunaomba Watanzania watuelewe na watusamehe kwa sababu tunataka timu hizi zifanikiwe."
"Kwa hiyo wewe Mtanzania ambaye utaweka kimbelembele kwenda kupokea wageni uwanjani wa ndege, kuwasapoti kwa namna yeyote, hatutakuelewa na tutadili na wewe kwa vile ambavyo tunaona inafaa."
"Tumekuwa nchi pekee iliyofanikiwa kuingiza timu mbili mwaka huu, lakini ukishapata mafanikio haupaswi kutumia muda mwingi sana kushangilia hayo mafanikio, unatakiwa uangalie unafanya nini ili kuendelea kupata mafanikio zaidi." Amesema.
Huo ndio ukweli,mchezo ni furaha na kukutana na watu wapya,hakuna haja ya kuwatenga wageni.Wala serikali isijiingize kwenye utaratibu huo. Hiyo ni nature ya mpira wetu wa bongo na ndicho kitu kilichoifanya ligi yetu ikafyatiliwa kwa kasi na mataifa mbalimbali kutokana na uniqueness ya mashabiki wake
[emoji843] Kupokea wageni au kutowspokea hakuna impact yoyote na matokeo ya uwanjani Bali kunachsgiza kuongeza WiGo wa marafiki na kuitangaza nchi ya amani ambapo Kila mtu ana feel at home
[emoji843] Tumeshuhudia baadhi ya nchi wakikimbia nchi zao na kuja kuomba uwanja wa LUPASO pamoja na mashabiki wao na kufungua njia kwa aina nyingine ya utalii " SPORT TOURISM" achankila timu ipambane na Hali yake
[emoji843]Tena ningekuwa Mimi ningeamasisha wavae kabisa jezi na wajaze uwanja na waeashangilie
Ili atakayeshinda ashindwe zaidi na atakayeshindwa ashindwe zaidi. Hiyo ndio furaha ya mashabiki na ndio tunayoitaka