Serikali yawaonya mashabiki wa Simba na Yanga kupokea Wageni

Asitufundishe ubaguzi dhidi ya waafrika wenzetu,hata mambo ya xenophobia huwa yanaanza hivi hivi! Club zote ni za afrika,Wala sio timu za taifa,mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu! Na wakifanya ujinga wowote kuwapangia watu timu za kusupport tutahakikisha taarifa zinawafikia wahusika kuwa serikali inaingiza siasa kwenye mpira,hizo Hela za viingilio wanatulipia wao mpaka watupangie? Tunaach shughuli zetu kwenda kuburudika halafu anatokea fala mmoja anataka kuanza kuwapangia watu
 
Wala serikali isijiingize kwenye utaratibu huo. Hiyo ni nature ya mpira wetu wa bongo na ndicho kitu kilichoifanya ligi yetu ikafyatiliwa kwa kasi na mataifa mbalimbali kutokana na uniqueness ya mashabiki wake

🔹 Kupokea wageni au kutowspokea hakuna impact yoyote na matokeo ya uwanjani Bali kunachsgiza kuongeza WiGo wa marafiki na kuitangaza nchi ya amani ambapo Kila mtu ana feel at home

🔹 Tumeshuhudia baadhi ya nchi wakikimbia nchi zao na kuja kuomba uwanja wa LUPASO pamoja na mashabiki wao na kufungua njia kwa aina nyingine ya utalii " SPORT TOURISM" achankila timu ipambane na Hali yake

🔹Tena ningekuwa Mimi ningeamasisha wavae kabisa jezi na wajaze uwanja na waeashangilie
Ili atakayeshinda ashindwe zaidi na atakayeshindwa ashindwe zaidi. Hiyo ndio furaha ya mashabiki na ndio tunayoitaka
 
 
Sijawahi kuona simba wakipokea wageni hayo ni mambo ya Yanga
Mwaka 2016 Yanga na TP Mazembe unadhani Simba hawakuwapokea TP Mazembe na kushangilia juuu wakiwa na jezi za Mazembe?
 
Mamemilod hawahitaji mapokezi...watatuchapa tu.

Wale wajamaa tunaopigaga na leo wakija tutawapiga tuu bila huruma. Lkn kwa yanga lazima mtaliwa kichwa.

Tutashangilia kwa ku smile tu 😃

Kama serikali hairuhusiwi kuingilia soka.....ndumbaro unaitakia nini nchi hii?

Serikaliangakieni usalama tu hiyo ndiyo kazi yenu
 
Mlishindwa kuwachukulia hatua Heris Raisi wa Yanga na manara Kwa kuvaa jezi za kaizer chief kisa Leo timu lenu lipo club bingwa mtuzuie haiwezekani sisi ni masandawana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na tutawapokea paleee kipawaaa, wasitupangieee.
 
Asitupangieeeee,
Masandawana ni ndugu zetu, tunaenda kuwapokeaaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Watz sisi ni wakarimu....sasa kuna kosa gani kuwakarimu wageni wetu, sijapenda
 
Kwanza wawakndoe wachezaji waliowaita iliwabakie na vilabu pili wazee wa pemba waitwe kupigwe dua kali sn
 
Huo ndio ukweli,mchezo ni furaha na kukutana na watu wapya,hakuna haja ya kuwatenga wageni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…