Serikali yawataka wakazi zaidi 7000 wanaoishi eneo la Bondo, Handeni mkoani Tanga kuondoka katika eneo hilo

Annunaki

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2021
Posts
2,042
Reaction score
3,674
Je, ni msukumo gani upo nyuma ya Serikali ya awamu hii na kuhamishwa kwa wakazi kutoka kwenye maeneo yao ya asilli?

Wakazi hawa wameishi katika eneo hilo zaidi ya miaka 40 sasa, TFS muda wote huo ilikuwa wapi?

Tanzania maeneo ya kutenga kwa ajili ya misitu ni mengi Sana ambayo hayana wakazi kabisa, kuna ulazima gani wa kugangania maeneo ambayo tayari yana makazi ya watu?

Je,kuna mradi wa siri unataka kufanyika katika eneo hilo kama tulivyosikia ya ngorongoro?

hapo sasa ndio panatakiwa matumizi ya uchawi, uchawi tusitumie tu kurogana wenyewe na kuharibiana maisha wakati wapo watu sahihi wakuwaroga..

Hapo inapaswa wachawi wote kwa manufaa ya wenzao zaidi ya 5000 wafanye mambo ili wasihame mahala hapo.
 
Waipige juju Serikali.
 
Duuhh waend kwao Burundi ... Nchi ishakua ngum
 
daaah 🤔🤔🤔😓
 
Ile ni hifadhi, na wanaharibu sana , mikaa inayosafirishwa kwa majahazi kupitia bandari bubu inatoka wilaya ya handeni
 
hapo sasa ndio panatakiwa matumizi ya uchawi, uchawi tusitumie tu kurogana wenyewe na kuharibiana maisha wakati wapo watu sahihi wakuwaroga..

Hapo inapaswa wachawi wote kwa manufaa ya wenzao zaidi ya 5000 wafanye mambo ili wasihame mahala hapo.
Serikali hairogeki
 
Akili kama hizi ni janga.
 
Mama anaifungua nchi.
 
Hii hamisha hamisha yenye maneno matamu imeanza kututia mashaka.
 
Dhambi ya ubaguzi ni mbaya.

Walinyanyaswa wamasai sasa zamu ya wazigua handeni.

Mmoja mmoja mpaka wote waguswe.
 
Kama ulifikiri hamisha hamisha imefikia mwisho,napenda nikwambie,hatujamalidhaaaa mlete mwarabu mlete mwarabu.
 
Nchi imeuzwa vigogo wanapita ATM tuwakemee mafisadi wote wa CCM ila roma sijui kwa nn kaacha harakati alikuwa anatupa mawe kweli
 
Roma aliona harakati kwa Tz hazilipi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…