Serikali yawataka watalii waliopanga kuja nchini kuahirisha safari hadi hapo Corona itakapodhibitiwa

Waandishi wetu wa habari hawakumuuliza nini Serikali itafanya kwa wale “watakaokaidi” ushauri huo na kuamua kuendelea na safari zao kama walivyopanga? Any hint on mandatory/forced quarantine?
 
Kama mnara wa babel kila mtu na lake, tusubir mkulu
 
mimi mwenyewe sioni sababu ya kufunga mipaka yote eti kwa sababu ya korona,ni ugonjwa mdogo sana mi nishaupuuza watakufa huko huko lakini sio ngozi iliyokulia shida na magonjwa kibao mpaka immune zilishakomaa
 
Mbona Bwana mkubwa Polepole alisema licha ya uwepo wa Corona,Serikali haiwezi kusitisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siasa hazina maana ya upumbavu.
Ni makosa makubwa sana kufikiria kuwa siasa inahusika na udanganyifu, ujinga, uongo na upumbavu.
Halafu hii dhana imejengeka kwa Watanzania wengi.Ahsante kwa kuwakumbusha.Hii inatakiwa ianzishiwe uzi kabisa maana watu wanaamini siasa ni blabla wakati siasa ni sayansi na haihitaji udanganyifu wa aina yiyote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kudhibiti au mnasubiri self limiting ya ugonjwa wenyewe
 
Sahihi kabisa yaani ndio kitu nilikuwa nataka kusikia sio blabla za polepole na wauni wengine.
Kuna nchi inaruhusu watu wake kwenda kutalii nyakati hizi? Mm nadhani kwenye utalii hata tusipotangaza hao watalii hawapo. Yaani ni sawa na kumwambia kipofu usinichungulie.
 
Kwamba watakuwa wamesikia?? Litoke tamko rasmi kuzuia safari za utalii hadi tutakapoweza kudhibiti hali ya corona sio tunakuwa kama hatutaki twataka!! Ndugu waliojiajiri huko wafanyiwe namna ili maisha yasiwachachafye.
Wakati huohuo yule mwenezi wa ujinga alosema hatuwezi zuia utalii afundishwe kuficha ujinga wake maana anawakilisha wasomi na watu wengi wenye heshma busara zao!! Siasa za kelele amwachie kibajaji na msukuma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…