Consultant
JF-Expert Member
- Jun 15, 2008
- 11,503
- 20,892
Waandishi wetu wa habari hawakumuuliza nini Serikali itafanya kwa wale “watakaokaidi” ushauri huo na kuamua kuendelea na safari zao kama walivyopanga? Any hint on mandatory/forced quarantine?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni sihasa!Kwani kwa uelewa wako siasa ni nini?
Kwahiyo chama kinaongea bila kushirikisha akili?Bwashee kuna tofauti kati ya taarifa ya chama na taarifa ya serikali.
Leo imeongea serikali!
Kama mnara wa babel kila mtu na lake, tusubir mkuluNaibu Waziri wa Maliasili na Utalii Mh Kanyasu amewataka watalii waliopanga kutembelea Tanzania kuahirisha safari zao hadi pale ugonjwa wa Corona utakapokuwa umedhibitiwa.
Mh Kanyasu amewataka watalii hao kutofuta safari zao bali waahirishe kupisha hili janga linaloisumbua Dunia kwa sasa.
Source: ITV habari!
Mbona Bwana mkubwa Polepole alisema licha ya uwepo wa Corona,Serikali haiwezi kusitishaNaibu Waziri wa Maliasili na Utalii Mh Kanyasu amewataka watalii waliopanga kutembelea Tanzania kuahirisha safari zao hadi pale ugonjwa wa Corona utakapokuwa umedhibitiwa.
Mh Kanyasu amewataka watalii hao kutofuta safari zao bali waahirishe kupisha hili janga linaloisumbua Dunia kwa sasa.
Source: ITV habari!
Kwani Serikali ya Chama gani? Kubalini ukweli kuna double standardBwashee kuna tofauti kati ya taarifa ya chama na taarifa ya serikali.
Leo imeongea serikali!
Ya.........????!Bwashee kuna tofauti kati ya taarifa ya chama na taarifa ya serikali.
Leo imeongea serikali!
Serikali haina chama ila inatekeleza ilani ya CCM!Kwani Serikali ya Chama gani? Kubalini ukweli kuna double standard
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ni?........1:Mkenya 2:.....Watanzania wengi hamjui kutofautisha siasa na uhalisia ndio maana vitu vyengine huwa mnaongea mpk misuli ya shingo inakakamaa shingo zinashindwa kujipinda[emoji57]
Ni uongo uliokomaa...Siasa hazina maana ya upumbavu.
Ni makosa makubwa sana kufikiria kuwa siasa inahusika na udanganyifu, ujinga, uongo na upumbavu.
Ni alien 👽👽
Halafu hii dhana imejengeka kwa Watanzania wengi.Ahsante kwa kuwakumbusha.Hii inatakiwa ianzishiwe uzi kabisa maana watu wanaamini siasa ni blabla wakati siasa ni sayansi na haihitaji udanganyifu wa aina yiyote.Siasa hazina maana ya upumbavu.
Ni makosa makubwa sana kufikiria kuwa siasa inahusika na udanganyifu, ujinga, uongo na upumbavu.
Kuna nchi inaruhusu watu wake kwenda kutalii nyakati hizi? Mm nadhani kwenye utalii hata tusipotangaza hao watalii hawapo. Yaani ni sawa na kumwambia kipofu usinichungulie.Sahihi kabisa yaani ndio kitu nilikuwa nataka kusikia sio blabla za polepole na wauni wengine.
Halafu Jana walimsapoti humu kina Stroke , Crimea, huyu mleta hoja nk. Wapuuzi kweli kweliPolepole anasemaje ???
Lumumba akili tope hahaha