Yule ni Wa kupuuzwa muacheniSasa mbona Polepole Jana aliongea kama kuku aliyekatwa kichwa ?!. Bora huyo naibu waziri ameongea kitaalamu
Sent using Jamii Forums mobile app
Watanzania wengi hamjui kutofautisha siasa na uhalisia ndio maana vitu vyengine huwa mnaongea mpk misuli ya shingo inakakamaa shingo zinashindwa kujipinda[emoji57]
Huyo jamaa sio bwashee ni jaduong ila ana mahaba na mabwashee. Alafu ana kaugonjwa ka kupinga . Sio mpinzani ni mpingaji ila nafikiri soon atajirekebisha.Bwashee kuna tofauti kati ya taarifa ya chama na taarifa ya serikali.
Leo imeongea serikali!
La serikali!Sasa tushike la polepole au waziri
Ni nyie!Sasa ambao hatujui siasa na uhalisia ni sisi au polepole?
Kama hujui ni wewe au ni polepole basi usijisumbue we jisumbue kutafuta hela tu.Sasa ambao hatujui siasa na uhalisia ni sisi au polepole?
Mpaka wanamaliza kuhangaika na corona hawatakuwa hata na nguvu za kuja huku.Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Mh Kanyasu amewataka watalii waliopanga kutembelea Tanzania kuahirisha safari zao hadi pale ugonjwa wa Corona utakapokuwa umedhibitiwa.
Mh Kanyasu amewataka watalii hao kutofuta safari zao bali waahirishe kupisha hili janga linaloisumbua Dunia kwa sasa.
Source: ITV habari!
Ndiyo tuwe tunatofautisha matamko ya chama na ya serikaliSahihi kabisa yaani ndio kitu nilikuwa nataka kusikia sio blabla za polepole na wauni wengine.
Kanyasu anaongea vyake na Polepole anaonge vyake. Tufuate lipi?Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Mh Kanyasu amewataka watalii waliopanga kutembelea Tanzania kuahirisha safari zao hadi pale ugonjwa wa Corona utakapokuwa umedhibitiwa.
Mh Kanyasu amewataka watalii hao kutofuta safari zao bali waahirishe kupisha hili janga linaloisumbua Dunia kwa sasa.
Source: ITV habari!
Serikali!Kanyasu anaongea vyake na Polepole anaonge vyake. Tufuate lipi?
Bababuko, onikoyaga gete !!Huyo jamaa sio bwashee ni jaduong ila ana mahaba na mabwashee. Alafu ana kaugonjwa ka kupinga . Sio mpinzani ni mpingaji ila nafikiri soon atajirekebisha.
Lumumba inalundo la vijana wakuonea huruma.Halafu Jana walimsapoti humu kina Stroke , Crimea, huyu mleta hoja nk. Wapuuzi kweli kweli
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo kile kibwagizo Cha CCM kinachosema nitasema kweli daima uongo kwangu mwiko nayo Ni siasa tu? I mean Ni uongo tu?Kwenye chama kuna siasa na serikalini kuna uhalisia!
Ya chama yapuuzwe tangu sasa si ndio?Ndiyo tuwe tunatofautisha matamko ya chama na ya serikali
Ya chama tSerikali!
Uwongo wako unaweza kuwa ukweli kwa wengine!Kwa hiyo kile kibwagizo Cha CCM kinachosema nitasema kweli daima uongo kwangu mwiko nayo Ni siasa tu? I mean Ni uongo tu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe unaongozwa na kipi,chama au serikali?
So unataka kutuambia uongo wa pole pole Jana Ni ukweli kwa CCM but Ni uongo kwa wananchi rightUwongo wako unaweza kuwa ukweli kwa wengine!