Serikali yawataka watalii waliopanga kuja nchini kuahirisha safari hadi hapo Corona itakapodhibitiwa

Serikali yawataka watalii waliopanga kuja nchini kuahirisha safari hadi hapo Corona itakapodhibitiwa

Sasa ambao hatujui siasa na uhalisia ni sisi au polepole?
Watanzania wengi hamjui kutofautisha siasa na uhalisia ndio maana vitu vyengine huwa mnaongea mpk misuli ya shingo inakakamaa shingo zinashindwa kujipinda[emoji57]
 
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Mh Kanyasu amewataka watalii waliopanga kutembelea Tanzania kuahirisha safari zao hadi pale ugonjwa wa Corona utakapokuwa umedhibitiwa.

Mh Kanyasu amewataka watalii hao kutofuta safari zao bali waahirishe kupisha hili janga linaloisumbua Dunia kwa sasa.

Source: ITV habari!
Mpaka wanamaliza kuhangaika na corona hawatakuwa hata na nguvu za kuja huku.
 
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Mh Kanyasu amewataka watalii waliopanga kutembelea Tanzania kuahirisha safari zao hadi pale ugonjwa wa Corona utakapokuwa umedhibitiwa.

Mh Kanyasu amewataka watalii hao kutofuta safari zao bali waahirishe kupisha hili janga linaloisumbua Dunia kwa sasa.

Source: ITV habari!
Kanyasu anaongea vyake na Polepole anaonge vyake. Tufuate lipi?
 
Huyo jamaa sio bwashee ni jaduong ila ana mahaba na mabwashee. Alafu ana kaugonjwa ka kupinga . Sio mpinzani ni mpingaji ila nafikiri soon atajirekebisha.
Bababuko, onikoyaga gete !!
Sasa msemaji wa chama katamka, na chama kimeshika hatamu . Halafu waziri (serikali) naye kasema tofauti kwa mwananchi yule yule . Ashike lipi ?!

Mnahila huko nyakagwe au malawi ?!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom