Serikali yawatelekeza wanafunzi 29 Ukraine


Mkumbuke yule mpigapicha aliyewapiga picha watoto wa ethiopia na somalia miaka ya tisini wakifa kwa njaa, hakuna kingine zaidi alichofanya ila kuujulisha ulimwengu what was going on....baada ya hapo watu wote waliungana (bila kujali kama ni CCM au Mageuzi..joke) na kuwasaidia watoto waliokuwa bado hai....

Habari imefika na ni juu yako wewe mtumwitu kama kweli una uchungu na hao vijana to-do something about it...
 
dada mwafrika naomba usome nukuu hii chini utajua kwa nini nnaona tumewatupa, na hasa wale waliokuwa wakituongoza au vinara wa jambo hili


sasa hapa ndio nimesisitiza hizo ahadi mbona kimya hii tofauti na huyo mpiga picha unaemzungumzia hapa tumeahidiwa kuwa tutajaribu na kuhakikisha twataka jua wamefikia wapi?



tunataka kujua kulikoni au ndio hivi tunavyoenda usaniii kila pahala? tumekuwa mbele kuwadoboa ccm na jk kumbe hata wengine wapo?
 


Nadhani una elimu ya kutosha ya kujua matumizi ya neno kujaribu...hakuna guarantee kwenye majaribio yoyote yale
 
twataka jua huko kujaribu tumefikia wapi?


na hilo kuhakikisha lina maana gani ? hebu nidadavulie dada yangu

hapa ahadi nikupashana habari kila linalojiri, hadi tujue tumefikia wapi? lakin sasa kimya kama sio hii iliotugharimu yote tulioyaeleza
 

Kumbuka nilivyoanza kuchangia hoja hapa niliweka disclaimer kuwa sina elimu ya juu kama wengi hapa. Kwa kweli sijui maana ya neno nidadavulie labda unifundishe hapa kidogo

wewe mwenyewe umesema kuwa inabidi kupashana habari kwa kila linalojiri....kwa sababu sio mimi ninashughulikia hiyo habari, all I can say ni kwamba inawezekana bado hakuna lililojiri mpaka sasa. Kuwa na subira, kama kuna litakalojiri utapewa habari na wahusika (kama kweli bado wanashughulikia hii issue)
 
Ndugu zangu suala hili ni lazima lipatiwe ufumbuzi mapema. Nimepewa kadi moja ya ziada na nitaanza kuicheza lakini lazima tuwe na kitu kabla ya ijumaa. What should we do? nataka mawazo....

nnazani utaona hapo juu kuwa hili suala lazima lipatiwe mapema.

sasa tunataka kujua wamefika wapi iwe positive au negative.

hili suala si la kuliacha kabisa kwa zaidi pitia ile thread msolla ajiuzulu.sasa huwezi kutwambia linahitaji subira.

tuliombwa na rais turudi kwa nkono tukasema hatuwezi kusubiri zaidi watoto wanateseka. sasa mbona kimya na wakati huo tulihabarishwa kila kitu sasa kimya tumetune kwa chifupa(mungu amlaze mahala pema peponi ameen).

kudadavua maana yeke kuchambua au kueleza kitu kwa uwazi zaidi nAa hii nimeandika baada ya kutaka kunieleza kuwa wajua sana kiswahili
 
tetesi ni kuwa kimya kingi kina mshindo! Tusubiri kusikiliza nini kinaendelea.
 
nnazani utaona hapo juu kuwa hili suala lazima lipatiwe mapema.

sasa tunataka kujua wamefika wapi iwe positive au negative.

hili suala si la kuliacha kabisa kwa zaidi pitia ile thread msolla ajiuzulu.sasa huwezi kutwambia linahitaji subira.

Nitakuona kuwa uko serious na hii issue kama ukifanya something about hao watoto....maneno mengi lakini sioni ufumbuzi wako katika hili.....wewe umefanya nini? ningependa kujua.


.....kudadavua maana yeke kuchambua au kueleza kitu kwa uwazi zaidi nAa hii nimeandika baada ya kutaka kunieleza kuwa wajua sana kiswahili

Sidhani kama kuna sehemu katika thread zangu nimedai kuwa najua sana kiswahili....unless kama unataka kutwisti maneno yangu. Tukianza kushindana hapa uwezo wetu wa kutumia maneno ya swahili au lugha zingine basi tutajikuta tukitenyeka
 
toba yarabi! sasa sisi wengine tusiojua Kiswahili ndio itakuwaje? Natumaini Mzee wetu huko aliko "kwa bibi" atapata muda wa kutuwekea maendeleo ya suala hili.

Asante.
 
hawa wao waliahidi kutufanyia hii kazi, na wao ndio waliotuletea hii habarina unajua kuwa muungwana ni vitendo.

nnaomba sana tuwe wakweli na tusikimbie ahadi tulizoahidi.

tunasema JK atekeleze ahadi alizoahidi kwa wa tz na hata siku moja hatukwambiiww mwanamke wa afrika maana hukuahidi hilo ila ww hukuomba ujitahidi kulitumikia taifa lako
 
Mama we! Tukitenyeka halafu wasema weye hujui kiswahili,Mwafrika wa kike nakuogopa! Hiyo lugha yako kubwa,Ngoja nimtafute Mzee kibao anisaidie maneno haya "Dadavua" na "Tenyeka".Lakini sina budi kukwambia kuwa nafurahia mtiririko wa lugha yako ktk kujibu Hoja.
 
mtumwitu... wewe ulisaidia vipi vijana hawa zaidi ya kuwa mtu wa kwanza kulalamika na kutaka kujulishwa habari? Je hukusoma gazeti la Jumatatu la nipashe...kulikuwa na habari kule.
 
Na wewe ulisaidia vipi kutaka kujua Mtumwitu alisaidia vipi?
 
maendeleo ni ya kusua sua. We are on the final stretch. subirini jumatatu kuna mambo kadhaa yako mbeleni na zaidi ya yote mapambano yako msituni. Ndio maana naenda kwa bibi. Kukiwa na new development tutawajulisha.
 
maendeleo ni ya kusua sua. We are on the final stretch. subirini jumatatu kuna mambo kadhaa yako mbeleni na zaidi ya yote mapambano yako msituni. Ndio maana naenda kwa bibi. Kukiwa na new development tutawajulisha.

hivi ndivyo tilikuwa tukitaka tupewe taarifa ya kujua nini kinaendelea.

mkjj twakuombea kila la heri ili uweze kuwasaidia, pia usituache muda mrefu kutuupdate.



nadhani sasa mwafrika wa kike na wengine mmewaona watekelezaji ambao tulikuwa tunahitaji update.


asantu mkjj
 

Hongera nawe pia kwa kukubali kuwa mvumilivu na kuacha kuweka dhana ya usanii katika hii issue kama ulivyofanya hapo juu
 
sifuti dhana yangu hadi njuilishwe tumefikia wapi, hapa nnashukuru kwa updating ila nnasubiri wat follows next
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…