Mwafrika wa Kike
JF-Expert Member
- Jul 5, 2007
- 5,185
- 60
mie nnatupa malalamiko yangu kwa jf
jamani hawa ndugu zetu wamefikia wapi?
.....vyama vya upinzani nao wakaona ndio pa kutokea kuna mmoja yeye akasema .....sasa kunani? au ndio tulivyo ? maana hii imewekwa kapuni na sasa tumeingizwa tena uwanjani mwili wa amina ukaguliwe, waje scotland yard, na mengi hili hatujalikamilisha tunaibuka na hili, sasa huu ndio umakini.
wengine tunawaita wasanii jee hawa tuwaiweteje? nnaomba sana nieleweshwe japo ukisema hivi wengine hununa, hupenda kutugeuza wa sesere tuimbe nyimbo wazitakazo wao tu. na kila walionalo wao tuseme hewalwah bwana
Mkumbuke yule mpigapicha aliyewapiga picha watoto wa ethiopia na somalia miaka ya tisini wakifa kwa njaa, hakuna kingine zaidi alichofanya ila kuujulisha ulimwengu what was going on....baada ya hapo watu wote waliungana (bila kujali kama ni CCM au Mageuzi..joke) na kuwasaidia watoto waliokuwa bado hai....
Habari imefika na ni juu yako wewe mtumwitu kama kweli una uchungu na hao vijana to-do something about it...