Serikali Yaweka Bima ya Lazima kwa Wageni Wanaoingia Tanzania Bara

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kupitia Sheria ya Bima, Sura ya 394, imeanzisha bima ya usafiri wa lazima kwa wageni wanaoingia Tanzania Bara kwa ada ya bima inayolingana na Shilingi za Kitanzania sawa na Dola za Marekani 44.

Lengo la bima hii ni kugharamia dharura za kitabibu, kupotea kwa mizigo, na uokoaji wa haraka wa kitabibu au urejeshaji wa mgonjwa nchini kwake.

Utekelezaji wa bima hii ya lazima kwa wasafiri wanaoingia nchini utaanza rasmi mara baada ya kanuni husika kuchapishwa kwenye gazeti la Serikali. Umma utataarifiwa mara baada ya hatua hii kukamilika.

1751698425662.png
=====

The United Republic of Tanzania, through the Insurance Act, Cap. 394, has introduced mandatory inbound travel insurance for foreigners entering Mainland Tanzania at a premium amount of Tanzanian Shillings equivalent to 44 USD.

The purpose of this insurance is to cover medical emergency, loss of luggage, and emergency medical evacuation or repatriation.

The implementation of the mandatory inbound travel insurance will officially commence once the regulations related on the same are gazetted. The public will be informed once this process is complete.
 
Huu sasa ni uchuuzi, serikali iseme wazi kuwa ni tozo ya kuingia Tanganyika. Sasa endapo msafiri atapata ajali na kufariki serikali hii tuijuayo itamgharamia?
 
Inbound = very easy
Outbound = kimbembe
Watasema tuhakikishieni kwamba marehemu alikua hai kabla yakufariki
 
🤣🤣 Sisi wenyeji tu tunalia na bima zetu. Hii ya wageni itakuwaje? Jamani!

Fanyeni kazi ,mtapata pesa tu.
 
Back
Top Bottom