adakiss23
JF-Expert Member
- Jan 23, 2011
- 4,732
- 4,901
Kwahiyo maduka 18 nchi nzima ni sawa?Watahangaika weee lakini hawatatoboa. Mambo ya kujifanya wanabadili kila kitu alichoweka JPM yanawatokea puani. Kama serikali inadhani wafanya biashara wapo kwa ajili ya kulinda maslahi ya taifa basi ni wazi kuwa pale juu hakuna mtu.