Kwahiyo maduka 18 nchi nzima ni sawa?Watahangaika weee lakini hawatatoboa. Mambo ya kujifanya wanabadili kila kitu alichoweka JPM yanawatokea puani. Kama serikali inadhani wafanya biashara wapo kwa ajili ya kulinda maslahi ya taifa basi ni wazi kuwa pale juu hakuna mtu.
Jamani forex zinanunuliwa kwa kuruka bureau na kutoroshwa nje na Watanzania wenye ability fulani. BOT wanajua kwa hiyo maduka ya kubadili forex yasipofungwa kilio cha mbwa kitaendeleaMkuu unashindwa kuelewa kiini cha matatizo ya upungufu wa dola mitaani.
Usipolielewa tatizo ,kama wanasiasa wengi walivyo, basi utafikiri Bureu De Change ndio tatizo.
Niliwahi kueleza kuwa upungufu wa dola unatokana na serikali yenyewe kutoa zabuni makandarasi wa kigeni.
Sasa serikali inapowalipa wageni hawa wananunua dola kwa bei yoyote hadi kufikia dola moja kununuliwa kwa Tshs 2,800.
Mwananchi wa kawaida sasa anakosa huduma ya kuuziwa dola na Bureu DC.
Maduka ya Forex siyo tatizo, Maduka hayo yananunua na kuuza fedha HAWATENGENEZI Forex, hilo tulielewe.Jamani forex zinanunuliwa kwa kuruka bureau na kutoroshwa nje na Watanzania wenye ability fulani. BOT wanajua kwa hiyo maduka ya kubadili forex yasipofungwa kilio cha mbwa kitaendelea
Hizo ni kampuni, aliyetoa taarifa amepotosha. Kuna zaidi ya maduka 18Kwahiyo maduka 18 nchi nzima ni sawa?
Umesema kweli kabisa! Nchi hii ni ya hovyo sana! Maduka 18?Hata sijaelewa hii kitu Tanzania Ina maduka 18 tu ya kubadilisha fedha serious au mimi ndiyo sielewi hayo maduka?