Ni kweli kabisa mkuu.
Wengi hawaioni picha nzima, mafuriko yote yanapitia mdomo wa chupa uitwao Selander bridge.
Kwa vile huo.mdomo wa chupa Selander ni finyu, lazima bwawa litajitengeneza Jangwani.
Sijui kwa nini wapanda VX-V8 hawalioni hilo.
Viongozi na wafanyakazi wengi serikalini wana sifa ya kutokuwa wabunifu.
Mara nyingi kama si zote, wana react kwa matukio, na wako nyuma ya ku pre empt matukio.
Agenda ya maendeleo kazi yake ni kuboresha maisha kwa kuyafikiria matukio yanayoweza kutokea baadaye.
Mto Msimbazi ni moja ya matatizo ambayo miaka nebda rudi mafuriko yake hayajaweza kupatiwa ufumbuzi.
Miaka 40 iliyopita mto msimbazi ulifurika mara moja kila miaka mitano.
Leo hata mvua ndogo mto huu unafurika kiasi cha barabara kubwa inayokatiza ,Morogoro rd, kutopitika.
Miaka yote hii, outlet ya mto ni daraja la Selander, daraja ambalo ni takkriban mita 40 hivi.
Yale maji yooote ya msimbazi yanapitia hapo, upenyo wa mita 40.
Kwa wale watakao nielewa kihandisi, kwa nini kusiwepo na back up ya maji pale maji ya mto yakiwa mengi?
Sasa hivi tumeambiwa kingo za daraja la Selander zimeanza kuliwa na mto.
Kuna siku itatokea maji ya mto yatakuwa mengi hadi kupita juu ya sehemu dhaifu ya daraja la Selander!
Hapo hadi Rais, Makamu wa Rais,Waziri Mkuu, na mawaziri wote watahamia Selander "kujionea " mafuriko!
Hili ni tatizo kubwa sio tuu la viongozi Bali jamii ya Tanzania.
Hatuna mipango ya mda mrefu tunasibiria matukio na kuwalaumu hao viongozi sio sawa maana hawatoki mbinguni Bali kwenye jamii yetu.
Mbaya zaidi tuna jamii ya kulaumu badala ya kushauri nini kifanyike kama wewe unavyolaumu hapa.
Serikali imesema toeni maoni japo.mambo haya yawekwe kwenye dira ila hakuna anafanya Sasa sijui mnadhani mtu kuwa Kiongozi anajua Kila kitu au?
Mwisho,Kuna mradi unakuja wa Kutengeneza Hilo Bonde,nitashangaa kama utashindwa kutekezwa inavyotakiwa na mambo haya yakajirudia.
Ni Bora likafanyika eneo dogo Kwa ushahidi kuliko kulazimisha pesa Kiduchu ilambiwhe eneo lote mwisho wa siku ije kuwa kazi Bure.Maana tuna shida sana ya kulazimisha pesa itoshe hata kama haitoshi.
Pale mto Msimbazi, Selander Bridge, panaweza kufumuliwa kote kuanzia daraja la zamani (daraja liachwe kwa umuhimu wa kihistoria) mpaka huku ulipokuwa ubalozi wa Urusi India House. Pote yapite maji kwenda baharini.
Halafu daraja jipya lijengwe juu hapo ilipo Ali Hassan Mwinyi Road kutoka United Nations Road mpaka inapoishia Kenyatta Drive.
Kwa watu walio raise concern ya bottleneck hapo kwenye daraja la Selander, hili kitamaliza concern hiyo.
Pia, kuwepo daraja la Tanzanite kutasaidia kuwa na alternate route wakati hapo Selander panafumuliwa na kujengwa daraja la juu.
You can do all of that for 50 million US dollars. Pamoja na kutengeneza recreation parks, kuchimba mdomo wa mto Msimbazi kuondoa sediments ili kufanya maji yapite kwa urahisi.
Hapo unapozungumzia ni mwisho wa mto, lakini jee dakio (catchment) imeshughulikiwa vipi?
Kwanza huwezi kulinganisha mto Msimbazi wa miaka 40 nyuma na sasa, watu wameongozeka, eneo la catchment limevamiwa na makazi ya watu na uharibifu mkubwa wa mazingira umetokea. Kama kawaida ya maji huwa hayabadilishi njia yake, sasa yakitoka huko juu kwanza yanakuja kwa spidi kali kwani hakuna vizuizi (kama miti) vy kupunguzia ile spidi ya maji. Maji yale yanafika pale yamesomba kila aina ya takataka (magodoro, ndoo za plastiki....). Pili, yakifika bondeni kuelekea baharini hayana hata pa kupumulia (pale palipokuwa na ziwa Mwananyamala), unadhania kitatokea nini?
Enzi ya mkoloni lile eneo lote liliainishwa kuwa ni hazardous area (eneo la hatari).
Watu wakiambiwa wahame hawataki na serikali inaogopa kuwakera wapiga kura wake.
Tatizo ni viongozi kushindwa ku think outside the box.
Daraja la Selander inabidi lipanuliwe liwe at least 200metres ili kuruhusu maji kuingia baharini bila kizuio.
Pengine maelezo yamepiga chenga.
Mto msimbazi ukifurika na maji yana kuja kwa kasi toka milima ya Pugu, maji hayo hatyatoki kwa kasi ile ile maana pale Selander Bridge upenyo wa maji ni mdogo. Hivyo basi maji yana back up, kurudi nyuma na kujaza Jangwani.
Hapo unapozungumzia ni mwisho wa mto, lakini jee dakio (catchment) imeshughulikiwa vipi?
Kwanza huwezi kulinganisha mto Msimbazi wa miaka 40 nyuma na sasa, watu wameongozeka, eneo la catchment limevamiwa na makazi ya watu na uharibifu mkubwa wa mazingira umetokea. Kama kawaida ya maji huwa hayabadilishi njia yake, sasa yakitoka huko juu kwanza yanakuja kwa spidi kali kwani hakuna vizuizi (kama miti) vy kupunguzia ile spidi ya maji. Maji yale yanafika pale yamesomba kila aina ya takataka (magodoro, ndoo za plastiki....). Pili, yakifika bondeni kuelekea baharini hayana hata pa kupumulia (pale palipokuwa na ziwa Mwananyamala), unadhania kitatokea nini?
Enzi ya mkoloni lile eneo lote liliainishwa kuwa ni hazardous area (eneo la hatari).
Watu wakiambiwa wahame hawataki na serikali inaogopa kuwakera wapiga kura wake.
Kwa utundu tu, Magufuli aliweza kuanzisha ujenzi wa daraja la Busisi, bila budget, bila kupitia bunge, kwa mradi ambao ulikuwa ukifikiriwa kwa miaka 50 na zaidi.
Viongozi na wafanyakazi wengi serikalini wana sifa ya kutokuwa wabunifu.
Mara nyingi kama si zote, wana react kwa matukio, na wako nyuma ya ku pre empt matukio.
Agenda ya maendeleo kazi yake ni kuboresha maisha kwa kuyafikiria matukio yanayoweza kutokea baadaye.
Mto Msimbazi ni moja ya matatizo ambayo miaka nenda rudi, mafuriko yake hayajaweza kupatiwa ufumbuzi.
Miaka 40 iliyopita mto Msimbazi ulifurika mara moja kila miaka mitano.
Leo hata mvua ndogo mto huu unafurika kiasi cha barabara kubwa inayokatiza ,Morogoro rd, kutopitika.
Miaka yote hii, outlet ya mto ni daraja la Selander, daraja ambalo ni takriban mita 40 hivi.
Yale maji yooote ya msimbazi yanapitia hapo, upenyo wa mita 40.
Kwa wale watakao nielewa kihandisi, kwa nini kwa hali hii kusiwepo na back up ya maji pale maji ya mto yakiwa mengi?
Sasa hivi tumeambiwa kingo za daraja la Selander zimeanza kuliwa na mto.
Kuna siku itatokea maji ya mto yatakuwa mengi hadi kupita juu ya sehemu dhaifu ya daraja la Selander!
Hapo hadi Rais, Makamu wa Rais,Waziri Mkuu, na mawaziri wote watahamia Selander "kujionea " mafuriko!
Come with an creative idea of what has to be done as a permanent solution.
Wewe ongeza nyama kwenye pendekezo lako la kutengeneza "another outlet" ukiacha Ile ya Salender Bridge ili kama kulichukua wazo lako walichukue au waliache lakini wewe unakuwa umetimiza wajibu wako.
Lakini mpaka hapa, hata wewe umeishia kulaumu na kulalamika

Mkuu mbona nimeweka solution, post no #30. Selander Bridge lazima lipanuliwe, kma kule Tanzanite Bridge.
Hata member mmoja kachangia vizuri kwenye hili.
Pale mto Msimbazi, Selander Bridge, panaweza kufumuliwa kote kuanzia daraja la zamani (daraja liachwe kwa umuhimunwa kihistoria) mpakanhuku ulipokuwa ubalozi wa Urusi India House. Pote yapite maji kwenda baharini.
Halafu darana jipya lijengwe juu hapo ilipo Ali Hassan Mwinyi Road kutoka United Nations Road mpaka inapoishia Kenyatta Drive.
Kwa watu walio raise concern ya bottleneck hapo kwenye daraja la Selander, hili kitamaliza concern hiyo.
Pia, kuwepo daraja la Tanzanite kutasaidia kuwa na alternate route wakati hapo Selander panafumuliwa na kujengwa daraja la juu.
You can do all of that for 50 million US dollars. Pamoja na kutengeneza recreation parks, kuchimba mdomo wa mto Msimbazi kuondoa sediments ili kufanya maji yapite kwa urahisi.
Tatizo ni viongozi kushindwa ku think outside the box.
Daraja la Selander inabidi lipanuliwe liwe at least 200metres ili kuruhusu maji kuingia baharini bila kizuio.
Walitaka kuwaondoa kienyeji WB wakakataa kuwaondoa bila fidia. Tayari wameleta fedha za fidia. Kama serikali haitobadili matumizi basi wahanga watalipwa na watapisha eneo kwa ajili ya miradi ya kimkakati!
Walitaka kuwaondoa kienyeji WB wakakataa kuwaondoa bila fidia. Tayari wameleta fedha za fidia. Kama serikali haitobadili matumizi basi wahanga watalipwa na watapisha eneo kwa ajili ya miradi ya kimkakati!
Viongozi na wafanyakazi wengi serikalini wana sifa ya kutokuwa wabunifu.
Mara nyingi kama si zote, wana react kwa matukio, na wako nyuma ya ku pre empt matukio.
Agenda ya maendeleo kazi yake ni kuboresha maisha kwa kuyafikiria matukio yanayoweza kutokea baadaye.
Mto Msimbazi ni moja ya matatizo ambayo miaka nenda rudi, mafuriko yake hayajaweza kupatiwa ufumbuzi.
Miaka 40 iliyopita mto Msimbazi ulifurika mara moja kila miaka mitano.
Leo hata mvua ndogo mto huu unafurika kiasi cha barabara kubwa inayokatiza ,Morogoro rd, kutopitika.
Miaka yote hii, outlet ya mto ni daraja la Selander, daraja ambalo ni takriban mita 40 hivi.
Yale maji yooote ya msimbazi yanapitia hapo, upenyo wa mita 40.
Kwa wale watakao nielewa kihandisi, kwa nini kwa hali hii kusiwepo na back up ya maji pale maji ya mto yakiwa mengi?
Sasa hivi tumeambiwa kingo za daraja la Selander zimeanza kuliwa na mto.
Kuna siku itatokea maji ya mto yatakuwa mengi hadi kupita juu ya sehemu dhaifu ya daraja la Selander!
Hapo hadi Rais, Makamu wa Rais,Waziri Mkuu, na mawaziri wote watahamia Selander "kujionea " mafuriko!
Laiti kama mto Msimbazi ungeboreshwa kwenye njia yake kama ilivyofanyika mto Ng'ombe kuanzia Ubungo, Sinza, Mwananyamala, Manzese na kusishia Mkwajuni Kinondoni ungepumua vizuri. Hata hivyo barabara kutokea Magomeni Morocco hoteli kwenda Kinondoni kupitia Mkwajuni iko chini sana mvua zikinyesha maji yapita juu yake kiasi cha kusababisha usumbufu kwa watumiaji.
Shida ya mto Msimbazi inaanza baada ya kupita Segerea kuelekea baharini, watu wamejenga kando ya mto na kuendesha shughuli za kibinadamu pembeni mwake kiasi cha kufanya ukinzani wa mkondo wa maji. Hapo mpaka kuna viwanda vilivyopewa vibali na serikali wakajenga kukinzana na mkondo wa maji kuanzia maeneo ya bonde la Kigogo shuka mpaka bonde la Magomeni mzimuni watu wamejenga mpaka kwenye kingo za mto huko serikali ipo, vibanda vingi vilivyoondolewa Kariakoo vya vifaa vilivyotumika pamoja na kituo cha malori ya kukodi usafirishaji mizigo kwenda mikoani vimehamishiwa kwenye bonde la jangwani.
Bonde la jangwani awamu ya tano lilianza kunawiri kwa uoto wa asili lakini awamu hii ilipoingia watu wamevamiwa na kuanzisha shughuli za kibinadmu kama kilimo, kukata miti na kurudi kinyemela kwa raia waliohamishwa kwenye nyumbani zinazoambaa kuelekea ofosi za Yanga.
Ujenzi wa barabara kuanzia Magomeni mataa kwenye 'Fire' haukuzingatia taaluma ya uhandisi ila siasa ndio zilitawala kuonesha wananchi wamejengewa miundo mbinu imara bila ya kufkiri endapo mvua kubwa hasa kutokea Kisarawe ingenyesha madhara gani yangetokea kwenye bonde hilo. Halafu bila kujali kituo kikuu cha mabasi ya mwendo kasi kikajengwa sambamba na na kingo za mto ambazo hutumika kupumua pindi maji yakijaa.
Sehemu lilipojengwa daraja la Selander ni ingilio la mto Msimbazi baharini lakini pia nia 'vent' ya kupumulia bahari. Kuna daraja mbili
1. Moja ni nyembamba ambayo sana sana kwa sasa wanatumia watembea kwa miguu kupita upande wa kusini magharibi mkabala na msitu wa miti ya mikoko, lilijengwa na wakoloni kwa matumizi ya wazungu kati ya mwaka 1920-1949
2. Pili ni daraja linaloenda sambamba na lile finyu ambalo kwa sasa ndio linatumika kupitia magari lilijengwa na Tanzania miaka ya 1972 hivi ambalo lilipata umaarufu sana pale mwana mziki mmoja wa Tanzania alipoimba wimbo wa 'Zuwena' aliimba Marijani Rajab.
Maingilio ya mto Msimbazi na bahari kwenye daraja la Salender na miti ya mikoko ni hatarishi sana tangu makaburu walipue daraja la kwanza imekuwa ni maficho na mvizio wa waharifu wengi kupora raia hata mauaji miili hukotwa ikiwa imetupwa chini ya daraja au kwenye mikoko. Hata Hamza alipora bunduki kuanzia eneo lilio karibu na salender kuelekea ubalozi wa Ufaransa akishambulia askari polisi. Hata ubalozi wa Marekani uliolipuliwa mwaka 1998 ulikuwa karibu na eneo hilo kabla ya kuhamia Msasani Drive Inn.
USHAURI
1. Raia wote wanaoishi pembeni ya mto Msimbazi kuanzia Kigogo mpaka Magomeni, Jangwani, Mkwajuni, Kinondoni shamba na karibu na Muhimbili waondoshwe maana walifidiwa na kupewa viwanja Mabwepande 2013-2015
2. Lijengwe daraja la juu kuanzia Magomeni mapipa hadi 'Fire' Kariakoo
3. Kituo cha malori ya kukodi, nyumba za kuishi na vibanda kutokea ofisi za Yanga hadi mzunguko wa Kigogo ziondoshwe
4. Lijengwe daraja la juu kuanzia Morocco hoteli, Magomeni hadi Mkwajuni Kinondoni kuepuka usumbufu wa mafuriko
5. Bonde linalobaki chini lioteshwe miti kutunza mazingira na kusaidia uchujaji wa hewa iliyochafuliwa kutokana na uchafu wa moshi, harufu mbaya za vitu vilivyooza au kemikli za viwandani
6. Katika bonde hilo litengwe eneo liboreshwe kwa mapumziko 'Recreational Park'
7. Shughuli za kilimo zipigwe marufuku na sheria itungwe kulinda ukiukwaji unaofanywa na binadamu kwa makusudi
8. Kituo cha polisi Salendar kiboreshwe zaidi na vifaa vya usalama vifungwe kuzunguka daraja ili kusaidia kubaini uharifu mapema
9. Msitu wa mikoko na daraja la Salender vihifadhiwe vyema na kupewa hadhi ya eneo la kiutalii (The Silent War: South African Recce Operations 1969-1994 by Peter Stiff)
TANBIHI: Kitu gani kilikwamisha utekelezaji wa mradi huu ulioanzishwa 2018-2020?
Reference:
Usuli Kwa mujibu wa Kanzidata ya Kimataifa kuhusu Majanga Asilia yaliyotokea tangu mwaka 1990, Tanzania inakabiliwa na hatari ya majanga asilia yafuatayo, frikwensi zake zikiwa zimeonyeshwa katika mabano: mafuriko (62.2%), ukame (13.3%), tetemeko la ardhi (11.1%), kimbunga (8.9%), moto wa...
Responding to the call of Vice President of Tanzania, Honourable Samia Suluhu Hassan, to pragmatically address the recurrent flood risk in Dar es Salaam, the Msimbazi .
A consultative process brought together stakeholders to generate a new blueprint that will turn a key river from a hazardous liability into a beacon of urban resilience
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.