Serikali yetu fikirini nje ya box, mto Msimbazi unawaumbua!

Asante mkuu kwa maoni na mabandiko. Lakini sahihisha .
Selander Bridge original ( lile la zamani) lilijengwa mwaka 1929, hili ndilo karibu litabomoka kama tunavyoona kwenye picha.
Na maboresho yake yalijengwa na serikali ya Japan kupitia shirika lake la misaada, JICA mwaka 1980.
Siyo 1972 kama ulivyo andika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…