ndayilagije
JF-Expert Member
- Nov 7, 2016
- 7,491
- 8,304
Uzi huu utafutwa! Mada yoyote inayoisema serkali nids wataifuta. JF kwisha siku hizi!Zinapandisha maji mlimani bila pampu.
Mambo mengine wala hayataki hata shule yaani.
1.mtu akitaka maandamano si u mwache afanye.
2.unataka ufanisi kazini, biashara zisiwepo ofisini,lipa vizuri.!!utashangaa na roho yako.
3.unataka elimu bora,peleka vifaa vya kufundishia shuleni.
4.unataka huduma bora za afya?peleka vitendea kazi na malipo mazuri.
5.hutaki wasichana wabebe mimba eeh,wape usafiri!huwezi? jenga hostel shule.
6. Unataka,unataka,unataka!!!lakini hufanyi kitu,!are you dreaming? Nani anapenda rushwa,si njaa tu.
Ndo dunia ya tatu na raha zake. Ukiijulia hukondi wala,wafute tu!ndo nishasema mie.Uzi huu utafutwa! Mada yoyote inayoisema serkali nids wataifuta. JF kwisha siku hizi!
Siyo peke yake,!! Ndiyo third world hiyo,ulimwengu wa vitisho na tantalila za hapa na pale[emoji41]heheheeee.....sasa mimi nashangaa anashindwa kuboresha platform ili watu wapende kufanya kazi na kujivunia utaifa ...anaishia kupiga mboyoyo tu na nduru nyingi ila ufanisi wa hizo platform uko empty