Serikali za dunia ya tatu raha sana.

Serikali za dunia ya tatu raha sana.

ndayilagije

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2016
Posts
7,491
Reaction score
8,304
Zinapandisha maji mlimani bila pampu.
Mambo mengine wala hayataki hata shule yaani.
1.mtu akitaka maandamano si u mwache afanye.
2.unataka ufanisi kazini, biashara zisiwepo ofisini,lipa vizuri.!!utashangaa na roho yako.
3.unataka elimu bora,peleka vifaa vya kufundishia shuleni.
4.unataka huduma bora za afya?peleka vitendea kazi na malipo mazuri.
5.hutaki wasichana wabebe mimba eeh,wape usafiri!huwezi? jenga hostel shule.
6. Unataka,unataka,unataka!!!lakini hufanyi kitu,!are you dreaming? Nani anapenda rushwa,si njaa tu.
 
Uzi huu utafutwa! Mada yoyote inayoisema serkali nids wataifuta. JF kwisha siku hizi!
 
heheheeee.....sasa mimi nashangaa anashindwa kuboresha platform ili watu wapende kufanya kazi na kujivunia utaifa ...anaishia kupiga mboyoyo tu na nduru nyingi ila ufanisi wa hizo platform uko empty
 
Siyo peke yake,!! Ndiyo third world hiyo,ulimwengu wa vitisho na tantalila za hapa na pale[emoji41]
 
Back
Top Bottom