Serikali za miji zingekataza kufuga maeneo ya miji na majiji.

Halafu analalamikiwa mfugaji wa ng'ombe wawili wa maziwa tu
[emoji16][emoji16][emoji16] sasa mkuu unazungumzia vipi utitiri wa library za kuuza cd za korean drama, na muvi za aina hiyo?
 
Kulima maharage na mimea isiyozidi futi mbili hainaadhara lakini mahindi na alizeti futi tano na zaidi ni vichaka hatari kwa uhalifu mijini. Ng'ombe namfuga chumbani kwangu wewe unalalamika! Unania mbaya naye.
 
Ng'ombe analeta nzi na kufanya mtaa wote unuke, na magonjwa pia. Hivyo hivyo kwa nguruwe, kuku, punda, bata, mbuzi, kondoo nk. Sikuwahi ona mwizi kajificha kwenye mahindi yaliyopandwa nyumbani. Mwizi gani wa kujificha kwenye viploti vya mjini?
 
Kulima maharage na mimea isiyozidi futi mbili hainaadhara lakini mahindi na alizeti futi tano na zaidi ni vichaka hatari kwa uhalifu mijini. Ng'ombe namfuga chumbani kwangu wewe unalalamika! Unania mbaya naye.
Hawa ni waajiriwa wa serikali wanajiona wameyapatia maisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…