Serikali za Mitaa kukagua leseni imekaaje?

Serikali za Mitaa kukagua leseni imekaaje?

vadrick

Member
Joined
Aug 3, 2016
Posts
64
Reaction score
41
Hivi ili suala la Serikali za Mitaa kukagua leseni na kulazimisha watu kutoa hela kama hauna leseni ipoje wakuu?
 
hakuna sheria hiyo labda ni utashi,pia jaribu kwenda kuripoti japo wote ni wamoja.
 
Back
Top Bottom