Serikalini watu tunaishi kwa kuiba; huu ndo ukweli

Serikalini watu tunaishi kwa kuiba; huu ndo ukweli

Acha wizi bwashe , namna ya kuongeza kipato sio ya wizi , pata hicho kidogo fanya miradi ya kukuza kipato .
tanzania wafanyakazi karibu wote wa serikali ni wezi.
Mtu anayeenda nssf kuchukua stahiki zake anazungushwa wee, anaambiwa ukitaka mambo yaende haraka tutachukua 10% anakubali. anayemwambia hivyo unakuta ni kabinti kanajifanya kameokoka. baada ya pesa kutoka kanachukua mgao halafu jumapili kanaenda kanisani toa fungu la kumi na ushuhuda kuwa mchungaji alikaombea kuna deal kalikuwa kanasikilizia likatiki. kumbe deal lenyewe ndo hilo.
 
tanzania wafanyakazi karibu wote wa serikali ni wezi.
Mtu anayeenda nssf kuchukua stahiki zake anazungushwa wee, anaambiwa ukitaka mambo yaende haraka tutachukua 10% anakubali. anayemwambia hivyo unakuta ni kabinti kanajifanya kameokoka. baada ya pesa kutoka kanachukua mgao halafu jumapili kanaenda kanisani toa fungu la kumi na ushuhuda kuwa mchungaji alikaombewa kuna deal kalikuwa kanasikilizia likatiki. kumbe deal lenyewe ndo hilo.
Unafki tu
 
Bila wizi hii mishahara tusingeweza kufanya jambo lolote

Ndo maana walimu wanalia Sana ni kwa sababu hawana sehemu ya kuokota .

Hakuna MTU ambaye haibi wala kupiga dili .
Tatizo kubwa ni kuwa nchi inazidi kudidimia hivyo hata hicho kidogo baadaye kitakuwa hakipo...Kama watu wangekubali kusaidia wenye uwezo na upeo kushika nafasi takiwa, wala kusingekuwa na shida ya kuiba maana ni rahisi mno kurekebisha uchumi wa Tanzania na kuongeza vipato kwa haraka...Tatizo wengi walioko huko uwezo wao ni mdogo kwakua hawajawa well trained na wengi wao hawana exposure
 
Tatizo kubwa ni kuwa nchi inazidi kudidimia hivyo hata hicho kidogo baadaye kitakuwa hakipo...Kama watu wangekubali kusaidia wenye uwezo na upeo kushika nafasi takiwa, wala kusingekuwa na shida ya kuiba maana nji rahisi mno kurekebisha uchumi wa Tanzania na kuongoza vipato kwa haraka...Tatizo wengi walioko huko uwezo wao ni mdogo kwakua hawajawa well trained na wengi wao hawana exposure



Ukiona MTU analalamika ni kwakuwa Asali haijamfikia
 
Back
Top Bottom