Serikalini watu tunaishi kwa kuiba; huu ndo ukweli

Serikalini watu tunaishi kwa kuiba; huu ndo ukweli

Majizi yako humu yameuchuna tu tena mengine yatajifanya kukemea tabia ya wizi.

Ngoja niwambie ukweli .Serikali haina shukrani itakutumia kama kondomu ukuisha muda inakudampo. Tena unaweza kufanya mazuri mia moja ila kosa moja tu itakuadabisha. Kwahiyo jamani wewe ukijifanya mzalendo itafika muda wako wa kustafu utatoka na uzalendo wako.

Muhimu ni kwamba ukipata upenyo wa kupiga we piga tumia amri ya kumi na sita ya shetani inayosema "Usihurumie kiumbe ambacho haukukiumba".
Makanisani viongozi wanapiga sembuse serikalini.
Wewe jifanye mzalendo utakufa masikini na uzalendo wako.
 
Wala hakuna cha utakatifu wizi ni mbaya mkuu kila mtu analijua hilo , akija mtu akasema yeye ni mwizi wa kuku na kuvunja nyumba za watu ,akaleta uzi humu , utamkosoa kwa lipi ? Wakati yeye na mtoa mada wote ni wezi tu🤔🤔
Wizi upo kwa asilimia 99.99999, haijalishi
Wala hakuna cha utakatifu wizi ni mbaya mkuu kila mtu analijua hilo , akija mtu akasema yeye ni mwizi wa kuku na kuvunja nyumba za watu ,akaleta uzi humu , utamkosoa kwa lipi ? Wakati yeye na mtoa mada wote ni wezi tu🤔🤔
 
Tatizo kubwa ni kuwa nchi inazidi kudidimia hivyo hata hicho kidogo baadaye kitakuwa hakipo...Kama watu wangekubali kusaidia wenye uwezo na upeo kushika nafasi takiwa, wala kusingekuwa na shida ya kuiba maana ni rahisi mno kurekebisha uchumi wa Tanzania na kuongoza vipato kwa haraka...Tatizo wengi walioko huko uwezo wao ni mdogo kwakua hawajawa well trained na wengi wao hawana exposure
Ni muhimu sana pia kutokuzaa zaidi ya watoto wawili kama mshahara wako take home haufiki milioni 2.
 
Back
Top Bottom