min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 23,322
- 64,738
Unaiba , kumbe hiyo pesa ilikua inunue kifaa cha hospital, anakuja mgonjwa anakosa hudumu anapoteza maisha , ndani ya hiyo fani ya wizi tayari ushakua muuaji pia.Wizi ni mzuri Mzee wangu
lakini pale mchongo unapofeli ndio utaona Dunia imekutenga.